Lesson 18: Courses, Schedule, Routine Flashcards
Kosi
Course
Ratiba
Schedule
Ratiba ya kila siku
Daily schedule
Desturi/Shughuli
Routine
Desturi za kila siku/Shughuli za kila siku
Daily routine
Robo
Quarter
Semesta
Semester
Muhula
Term
Hadi/Mpaka
Until
Saa moja asubuhi hadi/mpaka saa mbili asubuhi:
Huamka, hunawa uso, huoga na hula chakula cha asubuhi au hunywa kahawa.
From 7 AM to 8 AM:
I wake up, I wash the face, shower, and eat breakfast or drink coffee.
Saa mbili asubuhi hadi/mpaka saa sita mchana:
Huenda darasani, na husoma darasani.
From 8 AM to 12 PM:
I go to class, and I study/read in class.
Saa sita mchana hadi/mpaka saa saba mchana:
Hula chakula cha mchana na hulala kidogo.
From 12 PM to 1 PM:
I eat lunch and sleep a bit.
Saa nane mchana hadi/mpaka saa kumi mchana:
Huenda darasani tena.
From 2 PM to 4 PM: I go to class again.
Saa kumi na moja jioni hadi/mpaka saa moja usiku:
Hucheza, hukimbia, hufanya mazoezi, na huenda kazini.
From 5 PM to 7 PM:
I play, I run, I work out, and I go to work.
Saa moja usiku hadi/mpaka saa mbili usiku:
Hula chakula cha jioni na huenda kwenye filamu.
From 7 PM to 8 PM:
I eat dinner and go to a movie.