Lesson 14b: Fractions Flashcards
1
Q
Nusu
A
Half
2
Q
Theluthi/Thuluthi
A
Third
3
Q
Robo
A
Quarter
4
Q
Humusi
A
Fifth
5
Q
Sudusi/Sudusu
A
Sixth
6
Q
Subui
A
Seventh
7
Q
Thumuni
A
Eighth
8
Q
Tusui
A
Ninth
9
Q
Ushuri
A
Tenth
10
Q
Robo tatu
A
Three quarters
11
Q
Thuluthi mbili
A
Two thirds
12
Q
Subui mbili
A
Two sevenths
13
Q
Subusi tano
A
Five sixths
14
Q
Tusui nane
A
Eight ninths
15
Q
Ushuri tisa
A
Nine tenths
16
Q
Asilimia
A
Percentage
17
Q
Akisami
A
Fractions
18
Q
Darasa la Kiswahili lina wanafunzi thuluthi mbili leo.
A
The Swahili class has two thirds of the students today.
19
Q
Nusu ya idadi ya watu Marekani ni maskini.
A
Half of the American population is poor.
20
Q
Nimekula humusi moja ya ndizi.
A
I have eaten a fifth of the banana.