Lesson 17: Time Flashcards
Saa
Time
Saa moja
7 AM/PM
Saa mbili
8 AM/PM
Saa tatu
9 AM/PM
Saa nne
10 AM/PM
Saa tano
11 AM/PM
Saa sita
12 AM/PM
Saa saba
1 AM/PM
Saa nane
2 AM/PM
Saa tisa
3 AM/PM
Saa kumi
4 AM/PM
Saa kumi na moja
5 AM/PM
Saa kumi na mbili
6 AM/PM
Asubuhi
Morning
Mchana
Afternoon
Adhuhuri
Midday
Alasiri
Late afternoon/Early evening
Jioni/Machweo/Machwa/Magharibi
Evening
Mafungia ngombe
Between evening and 11 PM
Usiku
Night
Usiku mchanga
Between 7 PM and 11 PM
Usiku mkuu/Usiku wa manane
Between midnight and 3 AM
Majogoo
Between 3 AM and 4 AM
Machweo/Mawio/Mapambazuko
Early morning/Pre-dawn
Alfajiri
Dawn
Mafungulia ngombe
Between 8 AM and 11 AM
Saa moja asubuhi
7 AM
Saa moja usiku
7 PM
Saa mbili asubuhi
8 AM
Saa tatu asubuhi
9 AM
Saa nne asubuhi
10 AM
Saa tano asubuhi
11 AM
Saa sita mchana
12 PM
Saa saba mchana
1 PM
Saa nane mchana
2 PM
Saa tisa mchana
3 PM
Saa kumi jioni
4 PM
Saa kumi na moja jioni
5 PM
Saa kumi na mbili jioni
6 PM
Saa moja usiku
7 PM
Saa mbili usiku
8 PM
Saa tatu usiku
9 PM
Saa nne usiku
10 PM
Saa tano usiku
11 PM
Saa sita usiku
12 AM
Saa saba usiku
1 AM
Saa nane usiku
2 AM
Saa tisa usiku
3 AM
Saa kumi alfajiri
4 AM
Saa kumi na moja alfajiri
5 AM
Saa kumi na mbili alfajiri
6 AM
Dakika
Minutes
Saa kumi na dakika kumi jioni.
4:10 PM
Sekunde
Seconds
Saa tano na nusu na sekunde ishirini na tano asubuhi
11:30:25 AM
Nusu
Half
Saa nne na nusu asubuhi
10:30 AM
Kamili
Exact
Saa tisa kamili usiku
3:00 AM sharp
Robo
Quarter after
Saa sita na robo mchana
12:15 PM
Kasororobo
Quarter to
Saa nne kasororobo asubuhi
9:45 AM
Saa ngapi?
What time?
Sasa
Now
Sasa ni saa ngapi?
What time is it now?
Sasa ni saa mbili asubuhi.
Now it is 8:00 AM
Utaenda nyumbani saa ngapi?
What time are you going home?
Nitaenda nyumbani saa nane mchana.
I will go home at 2:00 PM
Utakula chakula cha asubuhi saa ngapi?
What time will you eat breakfast?
Nitakula chakula cha asubuhi saa saba mchana.
I will eat breakfast at 1:00 PM.
Utamaliza kazi ya nyumbani saa ngapi?
What time will you finish doing homework?
Nitamaliza kazi ya nyumbani saa sita na robo usiku.
I will finish my homework at 12:30 AM.