Lesson 5: Possessive Pronouns Flashcards
1
Q
-angu
A
My
2
Q
-etu
A
Our
3
Q
Mwalimu wangu
A
My teacher
4
Q
Walimu wangu
A
My teachers
5
Q
Mwanafunzi wetu
A
Our student
6
Q
Wanafunzi wetu
A
Our students
7
Q
-ako
A
Your
8
Q
-enu
A
Your [pl.]
9
Q
Kalamu yako
A
Your pen
10
Q
Kalamu zako
A
Your pens
11
Q
Kalamu yenu
A
Your [pl.] pen
12
Q
Kalamu zenu
A
Your [pl.] pens
13
Q
-ake
A
His/Her
14
Q
-ao
A
Their
15
Q
Jina lake
A
His/her name
16
Q
Majina yake
A
His/her names
17
Q
Jina lao
A
Their name
18
Q
Majina yao
A
Their names
19
Q
Ni
A
Is
20
Q
Jina langu ni nani?
A
What is my name?
lit. My name is who?
21
Q
Jina lako ni nani?
A
What is your name?
lit. Your name is who?
22
Q
Jina lake ni nani?
A
What is his/her name?
lit. His/her name is who?
23
Q
Jina lako ni nani mama?
A
What is your name, mom?