Lesson 8: Locations Flashcards
Bara
Continent (Ji-Ma)
Nchi
Country (N)
Jimbo
State (Ji-Ma)
Jiji
Big city (Ji-Ma)
Wilaya
District/county (N)
Mji
City (M-Mi)
Kijiji
Village (Ki-Vi)
Kitongoji
Small village/Hamlet (Ki-Vi)
Mtaa
Street/Suburb/Neighborhood (M-Mi)
Kisiwa
Island (Ki-Vi)
Tarafa
Division (N)
Kata
Ward (N)
Kiunga
Suburb/Outskirt (Ki-Vi)
Mkoa
Province (M-Mi)
Toka
Come from
Kaa/Ishi
Live/Reside
Barabara
Street/Road
Karibu na
Near
Lakini
But
Kwa sasa
For now
Katika
At/Within
Wewe unatoka wapi?
Where do you come from?
Mimi ninatoka jimbo la Kansas, mji wa Lawrence.
I come from the state of Kansas, city of Lawrence.
Mimi ninatoka nchi ya Marekani, jimbo la Kansas, mji wa Wichita, lakini kwa sasa mimi ninaishi mtaa wa Emory, karibu na chuo kikuu cha Emory, barabara ya Eagle Row.
I come from America, the state of Kansas, the city of Wichita, but for now I live in the region of Emory near the university of Emory on Eagle Row st.