Leo ni tarehe gani? (welke dag/hoeveelste is het vandaag?) Flashcards
Januari
mwezi wa Januari/kwanza
Februari
mwezi wa Februari/pili
Maart
mwezi wa Machi/tatu
April
mwezi wa Aprili/nne
Mei
mwezi wa Mai
Juni
mwezi wa Juni/sita
Juli
mwezi wa Julai/saba
Augustus
mwezi wa Agosti/nane
September
mwezi wa Septemba/tisa
Oktober
mwezi wa Oktoba/kumi
November
mwezi wa Novemba/moja na moja
December
mwezi wa Disemba/kumi na mbili
Zij is op 10 juni 1972 geboren
Amezaliwa tarehe kumi, mwezi wa sita, mwake elfu moja, mia tisa, sabini na mbili
We zullen op 25 oktober 2009 in Nairobi arriveren
Tutafika Nairobi tarehe ishirine na tano, mwezi wa oktoba, mwaka elfu mbili na tisa
De trein naar Kisumu vertrekt op 6 januari
Treni ya kwenda Kisumu, itaokdoka tarehe sita, mwezi wa januari
Op welke datum ben je geboren?
Umezaliwa tarehe gani?