Unit 9: Kufanya utafiri wa jamii Flashcards
jina la utani
nickname
mpishi
cook, chef
ofisi
office(s)
maaskari polisi
policemen
askari
soldier
mafundi
craftsmen, mechanics
hufanya
usually do
kila
every
-sali
pray
binti
daughter, girl, young lady
-nunulia
buy for
kama vile
such as, like
mchele
uncooked rice
unga
flour
na kadhalika
et cetera
-letea
bring to, fetch for
-anza
start, begin
mara moja
at once, immediately
-tengenezea
prepare for
watejua
customers, clients
chakula cha mchana
lunch
-pakuliwa
be dished up, be served food
chakula cha jioni
dinner
barua
letter
hama
move out/away
kimbia
run away
geuka
turn away
hamia
move in/to
kimbilia
run to
geukia
turn to
mhasibu
accountant
biashara
business, commerce
kodi
tax, rental fee
mwenzangu wa shule
school mate, college mate
nafasi
opportunity
-hakikisha
make sure
wafanyabiashara
business people
barabara
perfectly, precisely
wala
nor, either
faida
profit
uhasibu
accountancy
-faa
be useful, proper
Kufanya kazi ya…
Doing the job of…
-endesha
drive, manage
shughuli
business, pursuits
-jishughulisha
be busy with
-imba
sing
-somesha
teach, educate
mwimbaji
singer
nyimbo
songs
tarab
Music of a Swahili/Arab origin
kikundi
group
wanamuziki
musicians
fasihi
literature
namna
kind, sort
fasihi andishi
written literature
fasihi linganishi
comparative literature
fasihi simulizi
oral literature
kitabu
book
-chapishwa
be published
-shangaa
be amazed, surprised
mwandishi
writer, author
mchapa kazi
hard worker
hivyohivyo
in that way, the same manner
safi
clean
-fupi
short
-kumbusha
remind
-gawana
share
-jaa
be full
-jaza
fill
taasisi
institute
lengo
objective, aim, goal
-kuu
great, important
-chunguza
examine, inspect
-endeleza
assure the progress of
lugha
language
mawanda
subject area
isimu
linguistics
-tunga
compose, put together
kamusi
dictionary
istilahi
terminology
tafsiri
translation
-chapisha
print, publish
sarufi
grammar
maumbo
shape, form, design
sanifu
standard, proper, artful
-husikana
be concerned with, be relevant to
muhimu
important, urgent
vetengo
units
desturi
custom(s), way(s)
-a jadi
ancestral
hadithi
story, narrative
misemo
sayings, idioms
ushairi
poetry
riwaya
novel
tamthilia
drama, play