Unit 4: Kusafiri Flashcards
Kusafiri
Travelling
Karani
Clerk
-safiri
Travel
Wakati
Time
Pasaka
Easter
Wa Nne
Fourth
-kata
Cut
-ngapi
How much/many
Pesa
Money
-rudi
Return
Kesho
Tomorrow
Jumanne
Tuesday
Jumamosi
Saturday
Jumapili
Sunday
Jumatatu
Monday
Jumatano
Wednesday
Alhamisi
Thursday
Ijumaa
Friday
Mwezi wa Kwanza
January
Mwezi wa Pili
February
Mwezi wa Tatu
March
Mwezi wa Nne
April
Mwezi wa Tano
May
Mwezi wa Sita
June
Mwezi wa Saba
July
Mwezi wa Nane
August
Mwezi wa Tisa
September
Mwezi wa Kumi
October
Mwezi wa Kumi na moja
November
Mwezi wa Kumi na mbili
December
Tiketi
Tickets
Bei
Price
Daraja
Rank, class
Kwanza
First
Pili
Second
-ondoka
Leave
Siku
Day(s)
Saa
Hour(s), clock(s)
Kamili
Exactly
Kasoro
Less
Dakika
Minute(s)
Jioni
Evening
Muda
Time, duration
Masaa
Hours
Loh!
expression of surprise
Ndefu
Long, tall
Sasa
Now
Mchana
Daytime
Tarehe
Date
Alfajiri
Dawn
Asubuhi
Morning
Alasiri
Late afternoon
Adhuhuri
Noon
Magharibi
Sunset
Jioni
Evening
Usiku
Night
Siku
Day
Kutwa
All day
Kucha
All night
Leo
Today
Jana
Yesterday
Juzi
Day before yesterday
Juzijuzi
The other day
Zamani
Long time ago
Kesho kutwa
Day after tomorrow
Sekunda
Seconds
Robo
Quarter
Nusu
Half
Kasoro
Less
Behewa
Train compartment
-lia
Eat with, in
Chakula
Food
-pitia
Pass by
Nchi
Country(ies)
Bila (ya)
Without
-simama
Stand, stop
-elekea
Be headed for, be facing
Karibu
near, nearly
Shaka
Doubt
Bila shaka
Without doubt
-pa
Give
Elimu
Education
-ingia
Enter
Viza
Visa(s)
-pata
Get
Ubalozi
Embassy
-chukua
Carry, take away
Passipoti
Passport(s)
Utaifa
Nationhood
Taifa
Nation
Sisi sote
All of us
Umoja wa Mataifa
The United Nations
Yai
Egg
Jicho
Eye
Jino
Tooth
Jiko
Stove, kitchen
Jambo
Matter
-ona
See