Unit 6: Shambani Flashcards
Mgeni
Guest
Kwetu
At our place
Pazuri
Nice, beautiful (place)
Mazingira
Environment
-a kupenda
Pleasing, charming
Pana/kuna
There is/are
Mandhari
Scenery
Yenye
Having, with
Milima
Mountains
Mito
Rivers
Maziwa
Lakes
Magari
Cars
Mavumbi
Dust
-wahi
Manage
Kwa mbali
From a distance
-pikia
Cook for
-penda
Like, love
Kuliko
Than
Migomba
Banana plants
Mno
Too much
Bahari
Sea, ocean
Riziki
Daily needs, God’s blessings
Kutokana na
As a result of
Mabaharia
Sailors
Wavuvi
Fishermen
Wasaidizi
Assistants
Mashamba
Fields
-Lima
Cultivate
Pamba
Cotton
Matunda
Fruits
Mboga
Vegetables
-panda
Plant, sow
Michungwa
Orange trees
Milimao
Lemon trees
Miembe
Mango trees
Michikichi
Oil palm trees
Minazi
Coconut palms
Mfenesi
Jackfruit tree
Mti
Tree
Mgomba
Banana plant
Mji
Town
Mkono
Hand, arm
Taabu
Problem(s)
-tumia
Use
Kichwa
Head
Kuzidi
To increase
Busara
Wisdom
Maisha
Life
Jibu
Answer
Swali
Question
Hadi
Until, up to
Bora
Best
Kwa sababu
Because (for the reason)
Kiabu
Club
Mikahawa
Cafés, restaurants
Makumbusho
Museum
Hawapo
It is not there
Kitu
Thing
Kitabu
Book
Kikombe
Cup
Kibanda
Hut
Kiti
Chair
Kisima
Well
Kisiwa
Island
Kikapu
Basket
Kitanda
Bed
Choo
Toilet
Chakula
Food
Cheo
Status
Vyoo
Toilets
Kujitegema
Self reliance
Ukoloni
Colonialism
Uchumi
Economics
-puuzwa
Be disregarded
Wakoloni
Colonists
Uhuru
Independence, freedom
Wahitimu
Graduates
Azimio
Declaration
Sera
Policy
-a kijamaa
Socialist
-fanyika
Be made
-tekelezwa
Be implemented
Serkali
Government
-endesha
Manage, run a business
-tambua
Realize, recognize
-a kilimo
Agricultural
Wananchi/raia
The people/folk
Wafanyakazi
Workers
-shauriwa
Be advised
-sikika
Be heard
Nyakati
Times
-badilika
Be changed
Umuhimu
Importance
-a kitaifa
National
-julikana
Be known