Unit 2: Unatoka wapi? Flashcards
Ni
To be
-toka
Come from
Nyinyi
you plural
Wapi
Where
Kwa hiyo
Therefore
Je
Question clarifier
-zaliwa
Be born
Huko
There
Lakini
But
Baba
Father
Afrika ya Magharibi
West Africa
Mama
Mother
Bibi
Miss, Grandmother
Siku Hizi
These days
Familia
Family
-ishi
Live
-jua
Know
Sijui
I don’t know
Hapana
No
Katika
In, at
Kijiji
Village
Mimi
I
Wewe
You
Yeye
He/she
Sisi
We
Nyinyi
You (plural)
Wao
They
Mwafrika
African
Mswidi
Swede
Mjapani
Japanese person
Mfaransa
French person
Mjerumani
German
Msomali
Somalian
Mhindi
Indian person
Mtoto
Child
Mgeni
Guest
Msichana
Girl
Mvulana
Boy
Mtu
Person
Mwalimu
Teacher
Mwanafunzi
Student
Uingereza
England
Marekani
America
Ujerumani
Germany
Ngazija
The Comoros
Ulaya
Europe
Ubelgiji
Belgium
Msumbiji
Mozambique
Rumi
Rome
Kanada
Canada
-kaa
sit, stay
Nje
Outside
Kidogo
A little
Eneo la
Region of
Si
it is not
Mbali na
Far from
Miguu
Feet, legs
La
No
Kuja
To come
Daladala
Minibus
Bweni
Dormitory
Bahati
Luck, fate
-weza
Can, be able
-fika
Arrive
Darasa
Class, classroom
Pamoja
Together
Kwenye
in, at, into
Jumba
Building
Moja
One
Tu
Only, just
Hoteli
Hotel
Kwa
to, with, from, for, by
Basi
Bus
Gari
Car
Eti
Listen here
Samahani
Excuse me, I’m sorry
-sahau
Forget
Sehemu
Part, section
Jiji
City
-kumbuka
Remember
Hebu
expression to draw attention
Siyo
It is not so
-shindwa
Be beaten, fail
Zote
All
Kweli
True
Sikai
I don’t live/stay
-kosea
Make an error
Hatuishi
We don’t live
Siyo?
Is it not so?
Bali
On the contrary, rather, however
Jamani!
Listen here! My goodness!
Inaonekana
It seems
Kwamba
That
Hatukumbuki
We don’t remember
-tumaini
Hope, expect
Masomo
Studies
Wote
All
-cheka
Laugh
-subira
Wait
Nina kupenda
I love you
Kupenda
To love/like