Unit 5: Safirini Flashcards
Safirini
On the move
Mhudumu
Waiter
Orodha
List
Orodha ya vyakula
Menu
Wali
Cooked rice
Maharage
Beans
Kuku
Chicken(s)
Nyama
Meat
Nyama ya mbuzi
Goat meat
Ugali
Ugali
Ndizi
Banana(s)
-omba
Ask for, pray for
Samaki
Fish(es)
Tafadhali
Please
-leta
Bring
Vinywaji
Drinks
Chai
Tea
Chai ya Rangi
Tea without milk
Kahawa
Coffee
Pombe
Beer
Tangawizi
Ginger, ginger tea
Maji
Water
Karatasi
Paper
Gazeti
Newspaper
Soma!
Read!
Chukua!
Take!
Ondoka!
Leave!
Kumbuka!
Remember!
Sahau!
Forget!
Kula!
Eat!
Kunywa!
Drink!
Njoo!
Come!
Nenda!
Go!
Lete!
Bring!
-wite
Call
-kubwa
Big
Mji mkuu
Capital City
Majumba
Buildings, mansions
Mapya
New (buildings)
Mengi
Many (buildings)
-dogo
small
Ziwa
Lake
-pita
Pass
-jifunza
Learn
Peke yako
By yourself
Nyingine
Some, another
Peke yangu
By myself
-pana
Wide
-refu
Tall
-zuri
Good, pretty
-pya
New
-kuu
Big, important
-embamba
Narrow, thin
-fupi
Short
-baya
Bad, ugly
-gumu
Hard, difficult
-ingine
Other, different
-ingi
Many
-ema
Good, well
-ekundu
Red
-eupe
White
-eusi
Black
Maandazi
Doughnuts, pastries
Baridi
Cold
Mifuko
Bags, pockets
Njaa
Hunger
Naona njaa
I feel hungry
-onja
Taste
Kiu
Thirst
Kijana
Youth
Shukrani
Thanks, gratitude
-ona
See, feel
-sikia
Hear, feel
Mashariki
East
Kusini
South
Mstari
Line
Bahari ya Hindi
The Indian Ocean
Jirani
Neighbour
Maeneo
Regions, areas
Mnara
Tower
Bonde la Ufa
The Rift Valley
Magharibi
West
Kaskazini
North