Unit 7: Ugonjwa na matibabu Flashcards
-gusa
Touch
Mgonjwa
Sick person
-washa
Itch
-amka
Wake up
mapema
Early
-vimba
Swell
-angalia
Look at
Soko
Market
-nunua
Buy
Vitambaa
Fabric
duka
Shop
sabuni
Soaps
-badilishana
Change, exchange with
Ugonjwa
Illness
maagizo ya matumizi ya dawa
Medical prescription
Duka la madawa
Pharmacy
dawa
Medicine
-paka
Apply, smear
mara
Times (1x, 2x, etc)
-onana
See each other
Kwa heri ya kuonana
Goodbye until we meet again
Homa
Fever
Umwa
Be hurt
-sikia
Hear, feel
-ona
See, feel
-hisi
Feel
Baridi
Cold
Joto
Heat
Kichwa
Head
Shingo
Neck
Bega
Shoulder
Kwapa
Armpit
Kiwiko cha mkono
Elbow
Mkono
Arm, hand
Kigasha
Forearm
Kifundo cha mkono
Wrist
Kidole
Finger
Chanda
Finger
Mguu
Leg, foot
Kiwiko cha mguu
Ankle
Kidole cha mguu
Toe
Ukucha
Nail
Koo
Throat
Kifua
Chest
Mgongo
Back
Tumbo
Stomach
Kidole gumba
Thumb
Kiganja
Palm of hand
Kiuno
Waist
Unyonga
Hip
Ngumi
Fist
Makalio
Buttocks
Paja
Thigh
Goti
Knee
Kisigino
Heel
Wayo
Sole of foot
Nywele
Hair
Paji
Forehead
Nyusi
Eyebrows
Kope
Eyelids, eyelashes
Jicho
Eye
Sikio
Ear
Shavu
Cheek
Pua
Nose
Masharubu
Mustache
Taya
Jaw
Mdomo
Mouth, lip
Jino
Tooth
Kinywa
Inner mouth
Ulimi
Tongue
Ndevu
Beard
Kidevu
Chin
Zahanati
Dispensary
-patwa na
Come down with, be stricken with
-tetemeka
Tremble, shake
Nafuu
Improvement
Usiku kucha
All night long
-bidi
Be necessary
Chini
Down, downstairs
-pimwa
Be tested, examined
Mwuguzi
Nurse
Matokeo
Results/outcome
Upimaji
Assessment
-meza
Swallow something
Vidonge
Pills
Kama
If
-shukuru
Be thankful
-ita
Call
-itwa
Be called
-pata
Get
-tumia
Use
-kata
Cut
-panda
Plant
-Lima
Cultivate
-oa
Marry
-Olewa
Be married
-jibu
Ask
-jibiwa
Be asked
-samehe
Forgive
-samehewa
Be forgiven
-Pa
Give
-pewa
Be given
-la
Eat
-liwa
Be eaten
-nywa
Drink
-nywewa
Be drunk
zamani
some time, a long time ago
findo
tonsil(s)
-katwa
be cut
-pausliwa
be split, torn open, operated on
daktari mpasuaji
surgeon
-ogopa
be afraid
-gongwa
be hit, rammed into
-onya
warn
-sikiliza
listen to
ujinga
foolishness, inexperience
majeraha
injuries
-vunjika
be broken
matibabu
medical treatment
-pona
be cured, get well
dabisa
definitely, completely