Swahili III (Quiz 2) Flashcards
basi
bus
pikipiki
motorcycle
baisekli
bicycle
skuta
scooter
gari la kibinafsi
car (personal)
gari la moshi/treni
train
ndege
plane
taksi
taxi
meli
ship
mashua/boti
boat
tuk tuk/bajaji
tuk tuk
matatu
tour bus
huendaje
how do you go?
sehemu
places
ng’ambo
abroad
umekujaje
how have you come?
sijakuja
i have not come
tofauti kati ya
the difference between
daktari
doctor
polisi
police
nesi/mwuuguzi
nurse
askari
soldier
makanika
mechanic
mhandisi
engineer
mhudumu
waitress
mkutubi
librarian
muigazaji
actor
mwanasayansi
scientist
mwanamuziki
musician
mwanasiasa
politician
rubani
pilot
nahodha
sailor
hospitali
hospital
kliniki
clinic
mgonjwa
sick patient
matibabu
treatment
dawa
medicine/pills
uchungu/maumivu
pain
meza
swallow
ninahisi
i feel
ninaumwa na
i have pain on….
ninaumwa na kichwa
i have a headache
homa
fever
mafua
running nose
mzio
allergy
nina mzio
i have allergies
ninatapika
i am vomiting
kupima
to test
damu
blood
choo
stool
mkojo
urine
uzito
weight
shinikizo la damu
blood pressure
kiwiko
elbow
kiuno
waist
mkono
hand/arm
mguu
leg
wayo
foot
jicho
eye
pua
nose
mdomo
mouth
vidole
fingers
goti
knee
mgongo
back
maumivu yameanza lini
when did the pain start?
meza hizi dawa mara tatu kwa siku
take these pills three times a day