simple FUTURE tense drill ( + & - ) Flashcards
1
Q
I will call you
A
nitakupigia simu
2
Q
I will see them
A
nitawaona
3
Q
I will welcome you
A
nitakukaribisha
4
Q
I will bath later
A
nitaoga baadaye
5
Q
I will not tell
A
sitasema
6
Q
I will not cook
A
sitapika
7
Q
I will not clean
A
sitasafisha
8
Q
I will not be here
A
sitakuwa hapa
9
Q
you will do laundry
A
utasafisha nguo
10
Q
you will arrive this evening
A
utafika jioni hii
- ” hii “ = this
11
Q
you will eat
A
utakula
12
Q
you will not clean the house
A
hutaisafisha nyumba
13
Q
you will not play
A
hutacheza
14
Q
you will not come early
A
hutakuja mapema
15
Q
she will arrive on time
A
atafika kwa wakati