habitual PLURAL tense drill Flashcards
1
Q
we call you every day
A
sisi hukupigia simu kila siku
2
Q
we see them every week
A
sisi huwaona kila wiki
3
Q
we run every morning
A
sisi hukimbia kila asubuhi
4
Q
we don’t see her daily
A
Huwa hatumwoni kila siku
5
Q
we don’t exercise daily
A
hatufanyi mazoezi kila siku
(don’t need to put the “huwa”, you can but it’s not necessary)
6
Q
y’all do laundry every Saturday
A
Ninyi husafishia kila Jumamosi
7
Q
y’all don’t see her daily
A
Hammwoni kila siku
8
Q
y’all never arrive on time
A
hammfiki kwa wakati
9
Q
y’all don’t understand things easily
A
Hammeweli mambo kwa urahisi
10
Q
they go there weekly
A
Wao huenda hapo kila wiki
11
Q
they buy a car annually
A
Wao hununua gari kila mwaka
12
Q
they don’t watch TV every night
A
Hawatazami televisheni kila usiku