habitual SINGLE tense drill Flashcards
I call you everyday
Mimi hukupigia simu kila siku
I see them every week
Mimi huwaona kila wiki
I run every morning
Mimi hukimbia kila asubuhi
I read daily
Mimi husoma kila siku
I do not see her daily
Huwa simwoni kila siku
I don’t exercise daily
Huwa sifanyi mazoezi kila siku
I do not clean every night
Huwa sisafishi kila usiku
I don’t cook every night
Huwa sipiki kila usiku
you do laundry every Saturday
Wewe hufanya nguo kila Jumamosi
you sing every week
wewe huimba kila wiki
you don’t see her everyday
Huwa humwoni kila siku
you don’t eat every morning
Huwa huli kila asubuhi
you never arrive on time
Huwa hufiki kwa wakati
you don’t understand things easily
Huwa huelewi mambo (things) kwa urahisi (these two words combined mean “easily” or “of ease”)
He goes there weekly
Yeye huenda hapo (there) kila wiki