Vocab 9 Flashcards
all together, total
jumla
love
upendo (p: mapendo), penzi (5, p: mapenzi)
noun(s)
nomino
verb(s)
kitenzi (7, p: vitenzi)
noun class(es)
ngeli
safety, security
usalama
to accept, acknowledge, agree, admit
kupokea
danger(s), threat(s), menace(s)
tisho (5, p: matisho)
to attack, invade
kushambulia
according to
kwa mujibu wa
explanation(s), description(s)
elezo (5, p: maelezo)
to inform
kufahamisha
to be done, be doable, be held
kufanyika
advice(s), indication(s), warning(s)
onyo (5, p: maonyo)
to be given, offered, publised
kutolewa
fear, fright, terror
hofu
spying, intelligence
ujasusi
same to you
hata nawe
to translate
kukalimani, kufasiri
to treat, heal, cure
kutibu, kuponya
mango(es)
embe (5, p: maembe)
What does it mean?
Inamaanisha nini?
What do you mean?
Unamaanisha nini?
choo vs. bafu
choo = toilet, bafu = bathroom
I am sick
Mimi ni/niko mgonjwa
to appear to be, to look
kuonekana
to be told
kuambiwa
need(s)
hitaji (5, p: mahitaji)
teaching(s)
funzo (5, p: mafunzo)
sickness
ugonjwa, maradhi
to urge, encourage, speed up
kuhimiza
to be urged
kuhimizwa
attentive, cautious, watchful
-angalifu
recently
hivi majuzi
to bid goodbye
kuaga
to die
kuaga dunia, kufa, kufariki
to be very keen, concentrate
kumaanisha
to solve
kutatua
I am sad
Nini huzuni, Nina huzunika
I am bitter
Nina uchungu
pronoun(s)
kiwakilishi (7, p: viwakilishi)
adjective(s)
kivumishi (7, p: vivumishi)
adverb(s)
kielezi (7, p: vielezi)
to name, announce, nominate
kutaja
creature(s), being(s)
kiumbe (7, p: viumbe)
idea(s), notion(s), opinion(s)
dhana
individual, personal, single
-a pekee
particular, characteristic, distinguished
maalumu
letter(s) (in alphabet)
herufi
planet(s)
sayari
self, oneself
nafsi
abundance, large number
wingi
everyday, ordinay
-a kawaida
to consider, think about
kufikiria
desire, love
mapenzi
generosity
ukarimu
stupidity, ignorance
ujinga
learning
usomi
cleverness, intelligence
werevu
goodness, kindness
wema
beauty, goodness
uzuri
anger
chuki
to be countable
hesabika
perfume
manukato
porridge
uji
prefix(es)
kiambishi (7, p: viambishi)
to assemble, build, construct, form
kuunda
to connect, join
kuambata
to combine, link
kuunganisha
mainly, mostly
aghalabu
to be spilt
kumwagika
opposite(s)
kinyume
to sit
kukaa chini, kuketi
to run
kukimbia
to decline
kuinama
to rise
kuinuka
to reveal, uncover
kufunua
to bury
kufukia
to dig up, unearth
kufukua
athlete(s), player(s)
mchezaji (1, p: wachezaji)
consumer(s)
mlaji (2, p: walaji)