Vocab 6 Flashcards
to tell, to inform
kuambia
drawer(s)
shubaka (5, p: mashubaka)
American football
mpira wa kimarekani
golf course
uwanja wa gofu
exercise, working out
mazoezi ya mwili, mazoezi ya viungo
volunteer work
kazi ya kujitolea
swimming pool(s)
bwawa (5, p: mabwawa)
healthy
-enye afya
in shape
-enye umbo la kimazoezi
golf
gofu
tent(s)
hema (5, p: mahema)
to catch a ball
kudaka mpira
to go camping
kuenda kupiga kambi
to run
kuenda mbio, kukimbia
to swim
kuogelea
to lie in the sun
kuota jua
to throw a ball
kurusha mpira
to wish
kutamani
to hike, go hiking
kutembea masafa marefu (kwa burudani)
to get a sunburn
kuungua kwa jua
sport(s)
mchezo (3, p: michezo)
basketball
mpira wa kikapu
hockey
mpira wa magongo
table tennis, ping pong
mpira wa meza