Vocab 1 Flashcards
name
jina (5, p: majina)
Welcome
Karibu
How are you doing? How are things?
Habari gani?
Hi, How are you?
Hujambo
I’m fine.
Sijambo
What’s your name?
Jina lako ni nani?
My name is Kevan.
Jina langu ni Kevan
Do you speak Swahili?
Unasema Kiswahili?
Do you speak English?
Unasema Kiingereza?
Thank you
Asante
Good-bye
Kwaheri
morning
asubuhi
which/what
gani
news
habari
here
hapa
this
huyu
a little/few
kidogo
to see/to meet
kukuona
United States
Marekani
American
mmarekani (1, p: wamarekani)
also
pia
peace, peaceful
salama
very much, a lot
sana
now
sasa
just, only
tu
Good morning/How’s the morning going?
Habari za asubuhi?
Good afternoon/How’s the afternoon going?
Habari za mchana?
Good evening/how’s the evening going?
Habari za jioni?
I’m glad to see/meet you
Nimefurahi kukuona
See you!
Tutaonana!
Good night! (before bed)
Usiku mwema
Have a nice day!
Mchana mwema/Siku nzuri
Greeting from a younger person to an older one
Shikamoo (response: Marahaba)
to come from
kutoka
I come from the United States
Mimi ninatoka Marekani.
to live/stay/sit
kukaa
to like/love
kupenda
to sing
kuimba
to laugh
kucheka
to play/dance
kucheza
to write
kuandika
to live in
kuishi
to return to
kurudi
to think
kufikiri
Word used to indicate a question
je (or can omit and use rising intonation instead)
father(s)
baba
grandfather(s)
babu
grandmother(s)/Mrs., ma’am, Ms.
bibi
older sister(s)
dada
mother(s)
mama
older brother(s)
kaka
maternal uncle
mjomba (1, p: wajomba)
grandchild
mjukuu (1, p: wajukuu)
wife
mke (1, p: wake)
husband
mume (1, p: waume)
person
mtu (1, p: watu)
nephew
mpwa (1, p: wapwa)
child
mtoto (1, p: watoto)
parent
mzazi (1, p: wazazi)
elder/older person
mzee (1, p: wazee)
sibling(s), relative(s), cousin(s)
ndugu
who?
nani?
what?
nini?
grandmother(s)
nyanya
paternal aunt(s)
shangazi
How are things here?
Habari za hapa?
address(s)
anuani/anwani
or
au
blue
bluu
yard(s)/garden(s)
bustani
bathroom
choo (7, p: vyoo)
bedroom
chumba cha kulala (7, p: vyumba vya kulala)
window
dirisha (5, p: madirisha)
small, little
-dogo
red
-ekundu (adj), nyekundu (noun)