Vocab 3 Flashcards
road(s)/street(s)
barabara
highway(s)
barabara kuu
so
basi
store(s)
duka (5, p: maduka)
hotel(s)
hoteli
office building(s)
jengo la ofisi (5, p: majengo ya ofisi)
church(es)
kanisa (5, p: makanisa)
downtown, city center
kati kati ya mji
station(s)/stop(s)/stand(s)
kituo (7, p: vituo)
to be tired
kuchoka
to arrive
kufika/kuwasili
to leave, depart
kuondoka
to climb
kupanda
far
mbali
restaurant(s)
mkahawa (3, p: mikahawa)
mountain(s)
mlima (3, p: milima)
animal(s)
mnyama (1, p: wanyama)
mosque(s)
msikiti (3, p: misikiti)
money
pesa, fedha
trip(s)
safari
shilling(s)
shilingi
beach(es)
ufuko (11, p: fuko), ufukwe (11, p: fukwe), pwaa (5, p: mapwaa)
airport(s)
uwanja wa ndege (p: viwanja vya ndege)
interesting
-zuri, -a kupendeza, -a kuvutia