Vocab 4 Flashcards
wind(s)
upepo (11, p: pepo)
to wait
kungoja, kusubiri
mattress(es)
godoro (5, p: magodoro)
rotten, broken
-bovu
to stink
kunuka
thief(ves)
mwizi (1, p: wezi)
bitter
-chungu
to look alike, resemble
kufanana
sugar
sukari
problem(s)
shakawa, tatizo (5, p: matatizo)
stamp(s)
stampu, stempu
word(s)
kalima, neno (5, p: maneno)
tailor(s)
mshonaji (1, p: washonaji) (wa nguo)
to depend on
kutegemea
famous, well-known
maarufu
to make (shoe or clothing), mend, sew
kushona
customer(s)
mteja (1, p: wateja)
attire
vazi (5, p: mavazi)
pineapple(s)
nanasi (5, p: mananasi)
already
tayari
spiced cooked rice with chicken
pilau wa kuku
no problem
hamna tabu
plain cooked rice
wali mweupe
everything
kila kitu
whole, full
-zima
ice cream(s)
aisikrimu
tea
chai
salt
chumvi
glass(es)
glasi
bean(s)
haragwe (5, p: maharagwe)
corn
hindi (5, p: mahindi), mostly used in plural
juice
juisi
coffee
kahawa
sour
-kali
spoon(s)
kijiko (7, p: vijiko)
can(s), tin(s)
kikopo (7, p: vikopo)
drink(s), beverage(s)
kinywaji (7, p: vinywaji)
piece(s)
kipande (7, p: vipande)
knife(ves)
kisu (7, p: visu)
garlic/pieces of garlic
kitunguu thomu (7, p: vitunguu thomu)
thirst
kiu
spice(s)
kiungo (7, p: viungo)
to boil
kuchemsha
to roast
kuchoma
to carry, to take, to hold, to keep
kuchukua
to call
kuita
to fry
kukaanga
to wait, to be patient
kusubiri
cassava(s)
muhogo (3, p: mihogo)
coconut(s)
nazi
napkin(s)
nepkeni, sarvieti, tishu
hunger
njaa
half
nusu
meat
nyama
there (over there)
pale
spice(s), pepper(s), chili(s)
pilipili
black pepper
pilipili manga
plate(s)
sahani
salad
saladi
fruit salad
saladi ya matunda
butter
siagi
soup
supu
sweet
-tamu
ginger
tangawizi
fork(s)
uma (p: nyuma)
flour
unga
rice
wali
delicious
-zuri
to ask
kuomba
menu
menyu, bei za vyakula, orodha ya chakula
tip(s)
bakshishi
payment(s), compensation
lipo (5, p: malipo)
utensil(s)
chombo (7, p: vyombo)
orange tree(s)
mchungwa (3, p: michungwa)
banana plant(s)
mgomba (3, p: migomba)
sugar cane(s)
muwa (3, p: miwa)
lemon tree(s)
mlimau (3, p:milimau)
pineapple plant(s)
mnanasi (3, p: minanasi)
coconut plant(s)
mnazi (3, p: minazi)