Vocab 9 Flashcards
all together, total
jumla
love
upendo (p: mapendo), penzi (5, p: mapenzi)
noun(s)
nomino
verb(s)
kitenzi (7, p: vitenzi)
noun class(es)
ngeli
safety, security
usalama
to accept, acknowledge, agree, admit
kupokea
danger(s), threat(s), menace(s)
tisho (5, p: matisho)
to attack, invade
kushambulia
according to
kwa mujibu wa
explanation(s), description(s)
elezo (5, p: maelezo)
to inform
kufahamisha
to be done, be doable, be held
kufanyika
advice(s), indication(s), warning(s)
onyo (5, p: maonyo)
to be given, offered, publised
kutolewa
fear, fright, terror
hofu
spying, intelligence
ujasusi
same to you
hata nawe
to translate
kukalimani, kufasiri
to treat, heal, cure
kutibu, kuponya
mango(es)
embe (5, p: maembe)
What does it mean?
Inamaanisha nini?
What do you mean?
Unamaanisha nini?
choo vs. bafu
choo = toilet, bafu = bathroom
I am sick
Mimi ni/niko mgonjwa
to appear to be, to look
kuonekana
to be told
kuambiwa
need(s)
hitaji (5, p: mahitaji)
teaching(s)
funzo (5, p: mafunzo)
sickness
ugonjwa, maradhi
to urge, encourage, speed up
kuhimiza
to be urged
kuhimizwa
attentive, cautious, watchful
-angalifu
recently
hivi majuzi
to bid goodbye
kuaga
to die
kuaga dunia, kufa, kufariki
to be very keen, concentrate
kumaanisha
to solve
kutatua
I am sad
Nini huzuni, Nina huzunika
I am bitter
Nina uchungu
pronoun(s)
kiwakilishi (7, p: viwakilishi)
adjective(s)
kivumishi (7, p: vivumishi)
adverb(s)
kielezi (7, p: vielezi)
to name, announce, nominate
kutaja
creature(s), being(s)
kiumbe (7, p: viumbe)
idea(s), notion(s), opinion(s)
dhana
individual, personal, single
-a pekee
particular, characteristic, distinguished
maalumu
letter(s) (in alphabet)
herufi
planet(s)
sayari
self, oneself
nafsi
abundance, large number
wingi
everyday, ordinay
-a kawaida
to consider, think about
kufikiria
desire, love
mapenzi
generosity
ukarimu
stupidity, ignorance
ujinga
learning
usomi
cleverness, intelligence
werevu
goodness, kindness
wema
beauty, goodness
uzuri
anger
chuki
to be countable
hesabika
perfume
manukato
porridge
uji
prefix(es)
kiambishi (7, p: viambishi)
to assemble, build, construct, form
kuunda
to connect, join
kuambata
to combine, link
kuunganisha
mainly, mostly
aghalabu
to be spilt
kumwagika
opposite(s)
kinyume
to sit
kukaa chini, kuketi
to run
kukimbia
to decline
kuinama
to rise
kuinuka
to reveal, uncover
kufunua
to bury
kufukia
to dig up, unearth
kufukua
athlete(s), player(s)
mchezaji (1, p: wachezaji)
consumer(s)
mlaji (2, p: walaji)
doorkeeper(s)
bawabu (5, p: mabawabu)
essay(s)
insha
quickly, speedily
kwa haraka, upesi
mason(s)
mwashi (1, p: waashi)
fisherman(en)
mvuvi (1, p: wavuvi)
to decorate, adorn
kupamba
to announce, publicize, broadcast
kutangaza
defender(s), guard(s)
mlinzi (1, p: walinzi)
to mend, sew
kushona
to unravel, unsew
kushonoa
to fasten, secure
kupanika
to put out to air or dry (like clothes)
kuanika
to be made angry
kukasirishwa
expertise, skill, ability
ustadi
nanny(ies), babysitter(s)
yaya (5, p: mayaya)
conjugation(s)
mnyambuliko (3, p: minyambuliko)
peace
amani
to spray
kunyunyizia
attack(s), invasion(s)
uvamizi
to put on top
kumuaga
to top dress
kumuagilia
short rains season
msimu wa mvua kidogo
long rains season
msimu wa mvua ningi
cost
gharama
How is it going?
Inaendelaje?
it is not going well
haiendelei vizuri
anxiety(ies), confusion
wasiwasi
to succeed
kufaulu
to look forward to
kutazamia
to serve
kuhudumia
act of planting
upanzi
effort, hard work, energy
bidii
how
jinsi gani
to think, assume (as in, “I think so”)
kudhani
to collect
kukusanya
time (not saa or wakati)
mda
too long
mda mwingi
orphan(s)
yatima (5, p: mayatima)
outskirts
mashinani
faithful, devout person(s)
mwaminifu (1, p: waaminifu)
to be needed
kuhitajika
value(s), principle(s)
kanuni
to be keen or careful, take into account
kuzingatia
to spoil, destroy
kuharibu
to bless, give
kujalia
God willing (if God blesses me)
Mungu akinijalia
to be disturbed, stressed
kusumbuka
to educate
kusomesha
to converse
kuongelesha
dull
-nyonge
noise(s)
kelele (5, p: makelele)
to be loud
kuwa na kelele nyingi
respect
heshima
plan(s)
mpango (3, p: mipango)
to hate
kuchukia
boss(es)
mkubwa (1, p: wakubwa)
to be corrected, repaired
kurekebisha
to receive an increase (to “be added”)
kuongezewa
cost of living
maisha
relationship(s), clan(s)
ukoo (p: koo)
at all, ever, never, in the least
kamwe
to beat, hit
kuchapa
to protect, fight for rights
kutetea
to be killed
kuuawa
mercy
rehema
grace
neema
this far
umbali huu
distance
umbali
justice, rights
haki
godly
kiungu
joke(s)
mzaha (3, p: mizaha)
to end, to be finished, to complete, to be not there
kuisha
to disturb, bother, annoy
kusumbua
daughter(s)
binti (p: mabinti)
street children
watoto wa mtaa, chokora (p: machokora)
neighborhood(s), district(s), area(s)
mtaa (3, p: mitaa)
to spend money
kutumia pesa
debt(s)
deni (3, p: madeni)
to prepare
kuandaa
inferior, worthless, not good
duni
to enjoy, be happy (more for a specific thing)
kufurahia
masonry, skill, technology, craftsmanship
ufundi