Vocab 2 Flashcards
year
mwaka (3, p: miaka)
calendar(s)
kalenda
tomorrow
kesho
week(s)
wiki
yesterday
jana
arm
mkono (3, p: mikono)
back
mgongo (3, p: migongo)
body
mwili (3, p: miili)
chest
kifua (7, p: vifua)
finger
kidole (7, p: vidole)
foot
mguu (3, p: miguu)
hand
mkono (3, p: mikono), kiganja cha mkono
head
kichwa (7, p: vichwa)
leg
mguu (3, p: miguu)
stomach
tumbo (5, p: matumbo)
minute(s)
dakika
second(s)
sekunde
to be able to, can
kuweza
to do
kutenda
to make
kutengeneza
to use
kutumia
bad
-baya
easy
rahisi
far
mbali, baidi
near
karibu
ugly
-sawijika
Friday
Ijumaa
Saturday
Jumamosi
Sunday
Jumapili
Monday
Jumatatu
Tuesday
Jumanne
Wednesday
Jumatano
Thursday
Alhamisi
beer(s)
bia, pombe
coffee(s)
kahawa
tea
chai
water
maji
wine
mvinyo
beef(s)
nyama ya ng’ombe
chicken(s)
nyama ya kuku
pork(s)
nyama ya nguruwe
January
Januari
February
Februari
March
Machi
April
Aprili
May
Mei
June
Juni
July
Julai
August
Agosti
September
Septemba
October
Oktoba
November
Novemba
December
Disemba
one
moja
two
mbili
three
tatu
four
nne
five
tano
six
sita
seven
saba
eight
nane
nine
tisa
ten
kumi
cook (noun)
mpishi (1, p: wapishi)
employee
mfanyikazi (1, p: wafanyikazi), mtumi (1, p: watumi)
engineer
mhandisi (1, p: wahandisi)
manager(s)
meneja
nurse
muuguzi/mwuguzi (1, p: wauguzi)
police officer
afisa wa polisi (5, p: maafisa)
programmer
programa
fish(es)
samaki
glasses
miwani
bird(s)
ndege
chicken(s)
kuku
clothing
nguo
jacket
koti (5, p: makoti)
pants
suruali ndefu
shirt
shati (5, p: mashati)
to call
kupiga simu
to give
kupa, kutoa
to receive
kupokea
to say
kusema
to search
kutafuta
to take
kuchukua
to talk
kuongea
to be angry
kukasirika
clean
safi
dirty
-chafu
funny
-cheshi
to be happy
kufurahi
high
juu
hot
moto
low
chini
sad
huzunika
to be strong
kushupaa
weak
dhaifu
shoe
kiatu (7, p: viatu)
sock
soksi
apple
tofaa (5, p: matofaa), tufaa (5, p: matufaa)
banana(s)
ndizi
fruit
tunda (5, p: matunda)
grape(s)
zabibu
orange (noun)
chungwa (5, p: machungwa)
strawberry
stroberi
tomato(es)
nyanya, tungule
watermeleon
tikiti (5, p: matikiti), tikitimaji
cat(s)
paka
cow(s)
ng’ombe
dog(s)
mbwa
horse(s)
farasi
mouse/mice
panya
pig(s)
nguruwe
rabbit(s)
sungura
sheep
kondoo
crab(s)
kururu
dolphin
pomboo (5, p: mapomboo)
lobster(s)
kambakoche
adult
mtu mzima (1, p: watu wazima)
boy
mvulana (1, p: wavulana)
boyfriend/girlfriend
mpenzi (1, p: wapenzi)
child
mtoto (1, p: watoto)
friend
rafiki (5, p: marafiki)
girl
msichana (1, p: wasichana)
man
mwanamume (1, p: wanaume)
woman
mwanamke (1, p: wanawake)
underwear
chupi
bell pepper(s)
pilipili hoho
broccoli
brokoli
carrot(s)
karoti
cucumber
tango (5, p: matango)
lettuce
saladi
onion
kitunguu (7, p: vitunguu)
potato
kiazi (7, p: viazi), mbatata
soybean
ragwesoya
spinach
mchicha (3, p: michicha)
vegetable(s)
mboga
airplane(s)
ndege
bicycle(s)
baisikeli
boat(s)
boti
bus
basi (5, p: mabasi)
car
gari (5, p: magari)
helicopter(s)
helikopta
motorcycle(s)/scooter(s)
pikipiki
taxi
teksi (5, p: mateksi)
train
treni (5, p: matreni)
cloud
wingu (5, p: mawingu)