Vocab 3 Flashcards
road(s)/street(s)
barabara
highway(s)
barabara kuu
so, okay, fine
basi
store(s)
duka (5, p: maduka)
hotel(s)
hoteli
office building(s)
jengo la ofisi (5, p: majengo ya ofisi)
church(es)
kanisa (5, p: makanisa)
downtown, city center
kati kati ya mji
station(s)/stop(s)/stand(s)
kituo (7, p: vituo)
to be tired
kuchoka
to arrive
kufika/kuwasili
to leave, depart
kuondoka
to climb
kupanda
far
mbali
restaurant(s)
mkahawa (3, p: mikahawa)
mountain(s)
mlima (3, p: milima)
animal(s)
mnyama (1, p: wanyama)
mosque(s)
msikiti (3, p: misikiti)
money
pesa, fedha
trip(s)
safari
shilling(s)
shilingi
beach(es)
ufuko (11, p: fuko), ufukwe (11, p: fukwe), pwaa (5, p: mapwaa)
airport(s)
uwanja wa ndege (p: viwanja vya ndege)
interesting
-zuri, -a kupendeza, -a kuvutia
tourism
utalii
eye(s)
jicho (5, p: macho)
ear(s)
sikio (5, p: masikio)
tooth/teeth
jino (5, p: meno)
leaf/leaves
jani (5, p: majani)
orange(s) (fruit)
chungwa (5, p: machungwa)
lemon(s)
limau (5, p: malimau)
flower(s)
ua (5, p: maua)
stone(s)
jiwe (5, p: mawe)
matter(s), affair(s)
jambo (5, p: mambo)
window(s)
dirisha (5, p: madirisha)
egg(s)
yai (5, p: mayai)
box(es)
sanduku (5, p: masanduku)
oil
mafuta (no singular)
water
maji (no singular)
life
maisha (no singular)
pain
maumivu (no singular)
reception desk(s)
mapokezi (no singular)
shoulder(s)
bega (5, p: mabega)
a lot
-ingi
therefore
kwa hiyo, kwa hivyo
lion(s)
simba
elephant(s)
tembo
rhinoceros(es)
kifaru (7, p: vifaru)
giraffe(s)
twiga
hippopotamus(es)
kiboko (7, p: viboko)
to bake
kuoka
foreigner(s)
mgeni (1, p: wageni)
right hand side
upande wa mkono wa kulia
left hand side
upande wa mkono wa kushoto
to ache
kuuma
desert(s)
jangwa (5, p: majangwa)
researcher(s)
mtafiti (1, p: watafiti)
north
kaskazini
dry season(s)
kiangazi (7, p: viangazi)
cold season(s)
kipupwe (7, p: vipupwe)
to be late
kuchelewa
to answer
kujibu
right
kulia
to make a phone call
kupiga simu
left
kushoto
south
kusini
to ask
kuuliza
to have an appointment
kuwa na ahadi
to make an appointment
kuweka miadi
west
magharibi
dusk
magharibi
winter(s)
majira ya baridi (no singular)
east
mashariki
daytime
mchana
appointment(s)
miadi (no singular form)
director(s)
mkurugenzi (1, p: wakurugenzi)
meeting(s)
mkutano (3, p: mikutano)
wildlife, wild animal(s)
mnyamapori (1, p: wanyamapori)
assistant(s)
msaidizi (1, p: wasaidizi)
to meet with
kuonana na
dry season(s)
msimu wa kiangazi (3, p: misimu ya kiangazi)
rainy season(s)
msimu wa mvua (3, p: misimu ya mvua)
season(s)
msimu (3, p: misimu)
month(s), moon(s)
mwezi (3, p: miezi)
Come!
Njoo!
Sorry, Excuse me
Samahani
Wait! Be Patient!
Subiri! Ngoja!
date(s)
tarehe
lake(s)
ziwa (5, p: maziwa)
slow (adj)
-pole
slowly
polepole
please
tafadhali
later, afterwards, next, then
baadaye
message(s)
ujumbe (14, p: jumbe)
promise(s)
ahadi
to drink
kunywa
to die
kufa
What’s the date?
Tarehe ngapi?
What’s today’s date?
Leo ni tarehe ngapi?
although
ingawa
that
kwamba
continent(s)
bara (5, p: mabara)
Arabic
Kiarabu
to know
kujua, kuzoea
brown
hudhurungi, kahawia
gray
kijivu
green
kijani
orange (adj)
machungwa
to hear
kusikia, kusikiliza
to help
kusaidia
to learn
kujifunza
to move
kusonga
to start
kuanza
to want
kutaka
to be busy
kushughulika
important
muhimu
to be tired
kuchoka
twenty
ishirini
key(s)
ufunguo (11, p: funguo)
purse(s)
mkoba (3, p: mikoba)
wallet(s)
pochi
email(s)
barua pepe
cellular phone(s)
simu ya rununu/simu ya mkononi
cheek(s)
shavu (5, p: mashavu)
face(s)
uso (p: nyuso)
hair(s)
nywele
lip(s)
mdomo (3, p: midomo)
mouth(es)
kinywa (7, p: vinywa)
neck(s)
shingo
nose(s)
pua
field(s)
uwanja (p: nyanja), kiwanja (7, p: viwanja)
forest(s)
msitu (3, p: misitu)
island(s)
kisiwa (7, p: visiwa)
ocean(s)
bahari
rain forest
msitu (3, p: misitu)
river
mto (3, p: mito)
boss
bosi (5, p: mabosi)
office(s)
ofisi
desk(s)
dawati (5, p: madawati)
dictionary(ies)
kamusi
eraser(s)
kifutio (7, p: vifutio)
ruler (measuring)
rula (5, p: marula)
scissors
mkasi (3, p: mikasi)
bank(s)
benki
bakery(ies)
chumba cha kuoka mikate (7, p: vyumba vya kuoka mikate)
hospital(s)
hospitali
library(ies)
maktaba
pharmacy(ies)
duka la madawa (5, p: maduka la madawa)
police station
kituo cha polisi (7, p: vituo vya polisi)
supermarket(s)
supamaketi
invitation(s)
mwaliko (3, p: mialiko)
to stop
kusimama
period(s) of time
nafasi
next
ijayo
the day after tomorrow
kesho kutwa
about
kuhusu
until
mpaka
prices(s)
bei
blouse(s)
blauzi
clothing store(s)
duka la nguo (5, p: maduka ya nguo)
shoe store(s)
duka la viatu (5, p: maduka ya viatu)
undershirt(s)
fulana
expensive
ghali
jacket(s)
jaketi (5, p: majaketi)
credit card(s)
kadi ya malipo (9, p: kadi za malipo), krediti kadi