Vocab 15 Flashcards
agreement(s) (m-)
muafaka (3, p: miafaka)
tragedy(ies) (m-)
mkasa (3, p: mikasa)
to bribe
kuhonga
violation
ukiukaji
to be silenced
kunyamazishwa
kuvuruga
to disturb, disrupt
panel(s)
jopo (5, p: majopo)
to create
kuunda
commission (n)
tume
activist(s)
mwanaharakati (1, p: wanaharakati)
to submit
kuwasilisha
stigma
unyanyapaa
strategy(ies)
mkakati (3, p: mikakati)
violation
ukiukaji
statistics
takwimu
to deserve, be worthy of
kustahili
interests
maslahi
treaty(ies)
mkataba (3, p: mikataba)
to smell
kunusa
to smell bad
kunuka
appointment, nomination
uteuzi
selection(s)
mchujo (3, p: michujo)
while, whereas
ilhali
to contest, run for office
kugombea, kuwania
vacant, open, evident, obvious
wazi
clearly, openly
wazi wazi
anxiety, confusion, uncertainty
wasi wasi
to sell, market
kuuza sera
to be armed
kujihami
another word for jinsi (v-)
vile
curious person
mdadisi (1, p: wadadisi)
analysis(es)
mchanganuo (3, p: michanganuo)
to smooth, soften, streamline
kulainisha
experience (n)
tajriba
ancestry, family tree, genealogy
jadi
for a very long time
tangu jadi
performance, the way you work
utendakazi
valuables, treasure
hazina
to strengthen, solidify, improve, establish
kuimarisha
chit chat, small talk, propaganda
porojo (5, p: maporojo)
fraud
utapeli
willingly, by choice
kwa hiari
concept
dhana
attraction(s)
kivutio (7, p: vivutio)
award(s), reward(s), honor(s), prize(s)
tuzo (5, p: matuzo)
to compose, arrange, put together
kutunga
short for “will be”
akawa
savior(s), rescuer(s), liberator(s)
mkombozi (1, p: wakombozi)
chains, fetters
minyonyoro
misfortunes, afflictions, grief
masaibu
to be introduced
kujulishwa
to inform, announce, make known
kujulisha
term(s) (in school or office)
muhula
To fund, sponsor, facilitate, aid
kufadhili
to chat
kupiga gumzo
chat(s)
gumzo (5, p: magumzo)
to disappear, vanish, be absent
kutoweka
to have sex
kufanya ngono
livelihood, nourishment, sustenance
riziki
to dampen, wilt, fade, grow dim
kufifia
metal, iron, steel
chuma (7, p: vyuma)
gold
dhahabu
dowry(ies)
mahari
to reprimand, reproach, scold
kukaripia
tear(s)
chozi (5, p: machozi)
hunting
msako (3, p: misako)
obstacle(s), difficulty(ies), disturbance(s), protest(s)
pingamizi
to acknowledge, confirm, admit, confess
kukiri
to board, travel as a passenger
kuabiri
passenger(s)
abiria (5, p: maabiria)
modern ship
meli
boat(s)
mashua, boti
by air
angani, kwa hewa
Middle East
Mashiriki ya Kati
inspection
ukaguzi
to be inspected
kukaguliwa
process, procedure
utaratibu
to beautify
kurembesha
billboard(s)
bango (5, p: mabango)
guidance(s), guideline(s), advice
mwongozo (3, p: miongozo)
certificate(s), academic degree(s)
shahada (5, p: mashahada)
Kenya school system: class (primary school)
darasa (5, p: madarasa)
Kenya school system: form (secondary school)
kidato (7, p: vidato)
to commit suicide
kujitoa muhanga
activist(s)
mwanaharakati (1, p: wanaharakati)
fertility
rotuba
roof(s)
paa (5, p: mapaa)
interests
maslahi
to urge, encourage
kuhimiza
tension, gravity
mvutano
previously
awali
to sadden, make sad
kusikitisha
to manage, oversee, supervise, direct
kusimamia
to stand, stop, be stationary
kusimama
editor(s)
mhariri (1, p: wahariri)
to make dirty
kuchafua
pollution
uchafuzi
environs, suburbs(s)
kiunga (7, p: viunga)
to breed, reproduce, multiply
kuzaana
asthma
pumu
train (gari…)
gari la moshi
old, useless, worn out
-kuukuu
fertility
rotuba
bush(es), shrub(s)
kichaka (7, p: vichaka)
to leak, ooze
kuvuja
to flourish, thrive, succeed
kustawi
to collect, sweep up, gather up
kuzoa, kukusanya
to rot, decay, compose, marry off
kuoza
to die away, fade, wilt, wither
kufifia
to invent, establish, construct
kubuni
impediment(s), obstacle(s), sanction(s)
kikwazo (7, p: vikwazo), zuizi (5, p: mazuizi)
capital (as in financial, etc.)
mtaji (3, p: mitaji)
means/system of transport
uchukuzi
growth
ukuzi, ukuaji
kindness, goodwill, favor, assistance
ufadhili
anger
hasira
confidence, bravado, daring, recklessness
ujasiri
AIDS
ukimwi = Ukosefu wa Kinga Mwilini
elegant, modern, stylish, beautiful
maridadi
to be sick
kuugua
“Get Well”
Ugua Pole
to have sex
kushirika ngono
handsome (man)
-tanashati
beautiful (woman)
-rembo
slum(s)
mtaa ya mabanda (5, p: mite ya mabanda)
to ask for, want someone to do something, wish for someone
kutakia
to cut open, split, tear
kupasua
prostitution
ukahaba, umalaya
prostitute(s)
mwanamke malaya, mkahaba
cereal/grain crops
nafaka
camel(s)
ngamia
appearance
sura
smile
tabasamu
abuse, oppression, violation, injustice
dhuluma
to deserve, to be worthy, to be obligatory, to be proper, to be fitting
kustahili
accountability
uwajibikaji
the first one, number one
mosi
to create, form, shape (usually Mungu)
kuumba
to construct, put together, create
kutunga
That’s why
Ndiyo maana
to think about deeply, imagine, consider
kufikiria
signature, authentication, proof, validation, security
sahihi
to persist, remain, last long
kudumu
to expound
kufafanua
“that which I have”
nilichonacho
backbone
uti wa mgongo
casual job(s)
kibarua (7, p: vibarua)
sweat, perspiration
jasho (5, p: majasho)
to deceive, fool, embarass
kupumbaza
to refuse, deny, refute
kukana, kukataa, kukanusha
to trust
kuamini
selfishness
ubinafsi
to be done, to happen
kufanyika
to succeed
kufanyikiwa
to respect someone a lot, honor, glorify
kuenzi
expectations
matarajio
whale(s)
nyangumi
shark(s)
papa
electronic device(s)
mtambo (3, p: mitambo)
region(s) - gov
eneo (5, p: maeneo)
ward(s), location(s) - gov
kata
sublocation(s) - gov
kata ndogo
province(s) - gov
mkoa (3, p: mikoa)
weed(s)
gugu (5, p: magugu)
to weed
kupalilia
rule(s), convention(s), principle(s)
kanuni
openness, transparency
uwazi
equality
usawa
literature
fasihi
written literature
fasihi andishi
oral literature
fasihi simulizi
beauty, decoration, adornment
mapambo
to decorate, make beautiful
kupamba
proverb(s), saying(s)
methali
novel(s)
riwaya
poem(s)
shairi (5, p: mashairi)
to represent
kuakilisha
conflict(s), crisis(es)
mzozo (3, p: mizozo), mgogoro (3, p: migogoro)
“Intelligence is Wealth”
Akili ni mali
“He who is not taught by his mother is taught by the world”
Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
clear meaning
maana wazi
hidden meaning
maana ficha
taste(s), flavor(s), aroma(s)
ladha
skin, leather, hide
ngozi
bridge(s)
kivuko (7, p: vivuko)
to cross over
kuvuka
structure(s)
muundo (3, p: miundo)
to lease, rent
kukodisha