Vocab 7 Flashcards
net(s)
wavu (p: nyavu)
to volunteer
kujitolea
shape(s), form(s), physique(s)
umbo (5, p: maumbo)
to dream
kuota
glove(s)
glavu
umbrella(s)
mwavuli (3, p: miavuli)
ankle(s)
kifundo cha mguu (7, p: vifundo vya miguu)
wrist(s)
kinfundo cha mkono (7, p: vifundo vya mikono)
long-sleeved shirt
shati la mikono mirefu
short-sleeved shirt
shati la mikono fupi
to be cool
kutabaradi
embarrassment, shame, humiliation
aibu
nervousness, shyness, timidity
uoga
to be satisfied
kuridhika
to become warm
kuwia
hambuger(s)
hambaga
hot dog(s)
hoti dogi
pizza(s)
piza
fan(s)
pepeo, upepeo, kipepeo (7, p: vipepeo)
microwave oven(s)
choko
refrigerator(s)
friji
broom(s), vacuum cleaner(s)
ufagio (p: fagio)
washing machine(s)
mashine ya kuosha nguo
check in
kuingia
check out
kutoka
hotel(s)
hoteli
number(s)
nambari
to comb hair
kuchana
to gargle
kusukutua
to shower. to bathe
kuoga
to break
kuvunja
to burn
kuchoma, kuwaka
wound(s)
kidonda (7, p: vidonda)
to sprain
kushtua
necklace(s)
mkufu (3, p: mikufu)
ring(s)
pete
thousand
elfu
administrator(s), manager(s)
msimamizi (1, p: wasimamizi)
to smoke
kufuka
elementary school
shule ya msingi
middle school
shule ya kati
high school
shule ya secondari
principal(s)
mwalimu mkuu (1, p: walimu wakuu)
university(ies)
chuo kikuu (7, p: vyuo vikuu)
backpack(s)
mfuko (3, p: mifuko)
calculator(s)
kikokotoo (7, p: vikokotoo)
glue(s)
gundi
pencil sharpener(s)
cherehe
skirt
sketi
Africa
Afrika
Antarctica
Antaktika
Asia
Asia
Australia
Australia
North America
Amerika kaskazini
South America
Amerika kusini
Europe
Ulaya
short
-fupi
nervous
oga
burn(s)
chomo (5, p: machomo)
dark
-eusi
light (in weight)
-epesi
accounting
uhasibu
marketing, trading
uuzaji
wage(s)
ujira
reservation(s)
hifadhi
room(s)
chumba (7, p: vyumba)
vacancy(ies)
nafasi
to engage for marriage, to propose
kuposa
to move, migrate
kuhama
to retire
kustaafu
drum(s)
ngoma
guitar(s)
gitaa
harmonica(s), flute(s)
filimbi
piano(s)
piano
saxophone(s)
saksafoni
trumpet(s)
tarumbeta (5, p: matarumbeta)
violin(s)
fidla
envelope(s)
bahasha
paper clip(s)
kikaza karatasi (7, p: vikaza karatasi)
staple(s)
pete
baseball
beisboli
boxing
ndondi
to feel dizzy
kusua
fatigue
uchovu
nausea
kichefuchefu (7, p: vichefuchefu)
runny nose
makamasi
train platform
ukingo
timetable
ratiba
light (in color)
-eupe
light(s)
mwanga (3, p: mianga)
chance(s), opportunity(ies)
nafasi
fastener(s), clamp(s)
kikaza (7, p: vikaza)
to be accepted
kukubaliwa
advice, pieces of advice
shauri (5, p: mashauri)
to advise
kushauri
again
tena, halfau
almost
takriban
alone
peke (+ posessive)
also
pia, vilevile
another time
mara nyengine
answer(s)
jibu (5, p: majibu)
to be appointed
kuteuliwa
autumn
mapukutiko (plural)
baboon(s)
nyani
badness
ubaya
to beat
kupiga
to be beaten
kupigwa
better
bora
blind
-pofu
blood test
uchunguzi wa damu
to borrow
kutopa
to be bought
kununuliwa
breakfast
chamshakinywa
to bring back
kurudisha
to be built
kujengwa
to be burned
kuwashwa
to be carried
kuchukuliwa
to carry
kubeba, kuchukua
to cause to
kusababisha
to cause pain
kuumiza
cheerful, happy
-kunjufu
comrade(s)
ndugu
condition(s)
hali
to be cooked
kupikwa
to correct
kusahihisha
correctly
vizuri
to create
kuumba
cunning
-erevu
to cure
kuponya
danger
hatari
day before yesterday
juzi
deaf
-ziwi
to deliver
kutoa
to be destroyed
kuharibwa
doubt(s)
shaka (5, p: mashaka)
dream(s)
ndoto
to drown
kuzama
to be drunk
kulewa
to be drunk by
kunywewa
to be enough
kutosha
error(s), mistake(s)
kosa (5, p: makosa)
example(s)
mfano (3, p: mifano)
to be familiar with
kuzoea
fat
-nene
to feed
kulisha
few
-chache
to fight
kupigana
fireplace(s)
jiko (5, p: majiko)
to fish
kuvua
to be fixed
kutengenezwa
to follow
kufuata
to forgive
kusamehe
to be forgiven
kusamehewa
to be forgotten
kusahauliwa
garage
sehemu ya kulaza gari
to get better
kupona
gift(s)
zawadi
to be given
kupewa
God(s)
Mungu (3, p: mimungu)
great
-kuu
to be greeted
kusalimiwa
group(s)
kundi (5, p: makundi), kikundi (7, p: vikundI)
to grow (up, bigger)
kukua
to grow (hair, plants)
kuota
guard(s)
askari
hammer(s)
nyundo
to happen
kutokea