Umoja na Wingi: Ngeli ya M-Wa Flashcards
1
Q
Wingi wa Mtu huyu ni?
A
Watu hawa
2
Q
Wingi wa mzee huyu ni?
A
Wazee hawa
3
Q
Wingi wa mtoto huyu ni?
A
Watoto hawa
4
Q
Wingi wa mkulima huyu ni?
A
Wakulima hawa
5
Q
Wingi wa mpishi huyu ni?
A
Wapishi hawa
6
Q
Umoja wa walimu hawa ni?
A
Mwalimu huyu
7
Q
Umoja wa wanafunzi hawa ni?
A
Mwanafunzi huyu
8
Q
Umoja wa wavulana hawa ni?
A
Mvulana huyu
9
Q
Umoja wa wasichana hawa ni?
A
Msichana huyu
10
Q
Umoja wa wakurugenzi hawa ni?
A
Mkuugenzi huyu