Msamiati wa nyumbani Flashcards
Tafsiri kwa Kiswahili: Table
Meza
Tafsiri kwa Kiswahili: Chair
Kiti
Tafsiri kwa Kiswahili: Cupboard
Kabati
Tafsiri kwa Kiswahili: Carpet
Zulia
Tafsiri kwa Kiswahili: Bed
Kitanda
Tafsiri kwa Kiswahili: Sofa set
Kochi
Tafsiri kwa Kiswahili: Television
Runinga
Tafsiri kwa Kiswahili: Radio
Redio
Tafsiri kwa Kiswahili: Fridge
Jokovu
Tafsiri kwa Kiswahili: Sheet
Shuka
Tafsiri kwa Kiswahili: Mattress
Godoro
Tafsiri kwa Kiswahili: Clock or Watch
Saa
Tafsiri kwa Kiswahili: Plate
Sahani
Tafsiri kwa Kiswahili: Cup
Kikombe
Tafsiri kwa Kiswahili: Spoon
Kijiko
Tafsiri kwa Kiswahili: Fork
Uma
Tafsiri kwa Kiswahili: Knife
Kisu
Tafsiri kwa Kiswahili: Curtain
Pazia
Tafsiri kwa Kiswahili: Fan
Panka
Tafsiri kwa Kiswahili: Clothes
Nguo
Tafsiri kwa Kiswahili: Food
Chakula