Sehemu za mwili Flashcards
Tafsiri kwa Kiswahili: Hair
Nywele
Tafsiri kwa Kiswahili: Head
Kichwa
Tafsiri kwa Kiswahili: Face
Uso
Tafsiri kwa Kiswahili: Eye and Eyes
Jicho na Macho
Tafsiri kwa Kiswahili: Ear and Ears
Sikio na Masikio
Tafsiri kwa Kiswahili: Nose
Pua
Tafsiri kwa Kiswahili: Mouth
Mdomo
Tafsiri kwa Kiswahili: Tooth and Teeth
Jino na Meno
Tafsiri kwa Kiswahili: Tongue
Ulimi
Tafsiri kwa Kiswahili: Neck
Shingo
Tafsiri kwa Kiswahili: Shoulder and shoulders
Bega na Mabega
Tafsiri kwa Kiswahili: Chest
Kifua
Tafsiri kwa Kiswahili: Stomach
Tumbo
Tafsiri kwa Kiswahili: Hand and Hands
Mkono na Mikono
Tafsiri kwa Kiswahili: Finger and Fingers
Kidole na Vidole
Tafsiri kwa Kiswahili: fingernail and fingernails
Ukucha na Kucha
Tafsiri kwa Kiswahili: Thigh
Paja
Tafsiri kwa Kiswahili: Knee and knees
Goti na magoti
Tafsiri kwa Kiswahili: Leg and legs
Mguu na miguu
Tafsiri kwa Kiswahili: Foot
Wayo
Tafsiri kwa Kiswahili: Back
Mgongo