Familia Flashcards
1
Q
Tafsiri kwa Kiswahili: Mother
A
Mama
2
Q
Tafsiri kwa Kiswahili: Father
A
Baba
3
Q
Tafsiri kwa Kiswahili: Sister
A
Dada
4
Q
Tafsiri kwa Kiswahili: Brother
A
Kaka
5
Q
Baba wa baba huitwa?
Grandfather
A
Babu
6
Q
Mama wa baba huitwa?
Grandmother
A
Nyanya
7
Q
Kaka ya mama anaitwa?
Uncle-Brother to your mother
A
Mjomba
8
Q
Dada ya mama anaitwa?
Aunt-Sister to your mother
A
Halati
9
Q
Kaka ya baba anaitwa?
Uncle-Brother to your father
A
Ami
10
Q
Dada ya baba anaitwa?
Aunt-Sister to your father
A
Shangazi
11
Q
Babu na Nyanya atakuitaje?
Grandchild
A
Mjukuu
12
Q
Mtoto wa mjukuu anaitwa?
Great grandchild
A
Kitukuu
13
Q
Baba wa babu huitwa nani?
Great grandfather
A
Babu mkuu
14
Q
Mama wa nyanya huitwa nani?
A
Nyanya mkuu