Umoja na Wingi: Ngeli ya Ki-Vi Flashcards
1
Q
Wingi wa Kiatu hiki ni?
A
Viatu hivi
2
Q
Wingi wa kiazi hiki ni?
A
Viazi hivi
3
Q
Wingi wa Kitanda hiki ni?
A
Vitanda hivi
4
Q
Wingi wa Kiko hiki ni?
A
Viko hivi
5
Q
Wingi wa Chakula hiki ni?
A
Vyakula hivi
6
Q
Wingi wa kiti hiki ni?
A
Viti hivi
7
Q
Wingi wa Kikombe hiki ni?
A
Vikombe hivi
8
Q
Wingi wa Choo hiki ni?
A
Vyoo hivi
9
Q
Wingi wa Chombo hiki ni?
A
Vyombo hivi
10
Q
Wingi wa kinu hiki ni?
A
Vinu hivi