Numerals 1 Flashcards
moja
1
wili
2
tatu
3
nne
4
tano
5
sita
6
saba
7
nane
8
tisa
9
kumi
10
kumi na -moja
11
kumi na -wili
12
kumi na -tatu
13
kumi na -nne
14
kumi na -tano
15
kumi na sita
16
kumi na saba
17
kumi na -nane
18
kumi na tisa
19
ishirini
20
Mikate miwili
Two loaves
Miezi sita
Six months
Wanyama wakubwa wanne
Four large animals
Mpishi hodari mmoja
One able cook
Viti kumi na kimoja
Eleven chairs
Watoto wadogo kumi na wanane hawa
These 18 small children
Miaka mitano hii
These five years
Vikombe ishirini vinatosha
Twenty cups are enough
Nilinunua vitabu vipya vinne hivi
I bought these four new books
One person
mtu mmoja
Two trees
miti miwili
Three rooms
vyumba vitatu
Four children
watoto wanne
Six nails
misumari sita
Eight books
vitabu vinane
Ten months
miezi kumi
Twelve disciples (learners)
wanafunzi kumi na wawili
Eleven loads
mizigo kumi na mmoja
Twenty years
miaka ishirini
Eighteen spoons
vijiko kumi na vinane
Ten fingers
vidole kumi
Two arms
mikono miwili
Five mountains
milima mitano
Seven pieces
vipande saba
Thirteen baskets
vikapu kumi na vitatu
Fifteen cups
vikombe kumi na vitano
A dozen knives
visu kumi na viwili
Eleven Europeans
Wazungu kumi na mmoja
One loaf
mkate mmoja
Twelve youths
vijana kumi na wawili
Nineteen beds
vitanda kumi na tisa
One mirror
kioo kimoja
Fifteen hippopotami
viboko kumi na watano
Two white loaves and three brown (dark)
mikate myeupe miwili na myeusi mitatu
Five heavy loads and three light ones
mizigo mizito mitano na myepesi mitatu
Four beds and eight mosquito nets
vitanda vinne na vyandalua vinane
Eleven children and one teacher
watoto kumi na mmoja na mwalimu mmoja
Seven men and one woman
wanaume saba na mwanamke mmoja
One cripple
kiwete mmoja
Six white cups and two saucers
Vikombe vyeupe sita na visahani viwili
Those two red shoes are not clean
Viatu vyekundu viwili vile si safi
Each hand has five fingers
Kila mkono una vidole vitano
They stayed here twelve months
Walikaa hapa miezi kumi na miwili
This room has one small door
Chumba hiki kina mlango mdogo mmoja
She read nine books this month
Alisoma vitabu tisa mwezi huu
One African has eleven labourers
Mwafrika mmoja ana vibarua kumi na mmoja
Bring two other loaves
Lete mikate mingine miwili
I need a dozen small spoons
Ninahitaji vijiko vidogo kumi na viwili
Did you see those ten youths?
Uliona vijana kumi wale?
Waganga wawili na wagonjwa ishirini
Two doctors and twenty patients
Watoto kumi
Ten children
Mikate mitatu
Three loaves
Miaka mitano
Five years
Mto mmoja
One river
Wageni kumi na mmoja
Eleven guests
Mpishi mmoja na watumishi wanne
One cook and four servants
Vibarua wavivu wanane
Eight lazy labourers
Vyumba sita
Six rooms
Vitabu tisa
Nine books
Wazungu kumi na watatu na Waafrika kumi na wanane
Thirteen Europeans and eighteen Africans
Wanyama kumi na wawili
Twelve animals
Lete mikate miwili mingine
Bring the two other loaves
Alisahau vitu vitatu
He forgot three things
Wenyeji hawa wana visima vitatu
These inhabitants have three wells
Alifunga milango mitano
He closed five doors
Miti mirefu minane ilianguka
Eight tall trees fell
Kuna mito mingapi kule? Minne
How many rivers are there over there? Four
Kibarua yule ana vyeti saba
That labourer has seven chits/references
Pana mgeni mmoja mlangoni
There is one stranger/guest at the door