Nouns 1 - M/WA Class Flashcards
mganga / waganga
a doctor, a witchdoctor
mgeni / wageni
a visitor, guest, stranger, newcomer
mgonjwa / wagonjwa
a sick person, patient
mpishi / wapishi
a cook
mtoto / watoto
a child (either sex)
mtumishi / watumishi
a servant
mzee / wazee
an old person, elder (term of respect)
Mzungu / Wazungu
a European/American/foreigner
mdudu / wadudu
an insect (any creepy-crawly)
mnyama / wanyama
an animal
mwana / wana
a son/daughter
mwanafunzi / wanafunzi
a pupil/student
mwalimu / walimu
a teacher
mwenyeji / wenyeji
an inhabitant, householder
mwizi / wezi
a thief
mwanamke / wanawake
a woman / women
mwanamume / wanaume
a man / men
mwindaji / wawindaji
a hunter / hunters
Mwafrika / Waafrika
an African / Africans
Mwamerika / Waamerika
an American / Americans
Mwarabu / Waarabu
an Arab / Arabs
Mwingereza / Waingereza
a Britisher / British people
Mwitalia / Waitalia
an Italian / Italians
Mfaransa / Wafaransa
a Frenchman / French people
Mdachi / Wadachi
a German / Germans
Mholanzi / Waholanzi
a Dutchman / Dutch people
Mgiriki / Wagiriki
a Greek / Greeks
Europeans
Wazungu
students
wanafunzi
an insect
mdudu
new-comers
wageni
women
wanawake
a patient
mgonjwa
children
watoto
a man
mwanamume
teachers
walimu
thieves
wezi
men
wanaume
Africans
Waafrika
a person
mtu
servants
watumishi
an animal
mnyama
an inhabitant
mwenyeji
a Britisher
Mwingereza
hunters
wawindaji
a son
mwana
American children
watoto Waamerika
Seize the thief!
Kamata mwizi!
Bring the children!
Lete watoto!
Don’t beat the teacher!
Usipige mwalimu!
Don’t (pl.) destroy!
Msiharibu!
Follow (pl.) the animal!
Fuateni mnyama!
Look for the doctor!
Tafuta mganga!
Would you be the cook!
Uwe mpishi!
Beat the child!
Piga mtoto!
Would you wait (for) the guest!
Ungoe mgeni!
Don’t eat the insects!
Usile wadudu!
Sell the animals!
Uza wanyama!
Don’t bring the guests!
Usilete wageni!
Don’t follow the old man!
Usifuate mzee!
Try to look for the children!
Jaribu kutafuta watoto!
Bring (pl.) the patients!
Leteni wagonjwa!
Wadudu
Insects
mwenyeji
an inhabitant
wezi
thieves
mpishi
a cook
Mdachi
a German
watoto Wazungu
European children
mpishi mzee
an old cook
walimu
teachers
mwanamke
a woman
mgonjwa
a sick person
wenyeji Waafrika
African inhabitants
mwalimu
a teacher
mwindaji
a hunter
wanyama
animals
Waislamu
Muslims
Mgiriki
a Greek
mgeni
a stranger/visitor/new-comer
mwanamume
a man
mtumishi
a servant
wanafunzi
pupils/students
mchungaji / wachungaji
herdsman, pastor, shepherd
mke / wake
a wife / wives
mkristo / wakristo
a Christian / Christians
mkulima / wakulima
a farmer, cultivator / farmers
mnyapara / wanyapara
a foreman, overseer / foremen
mume / waume
a husband / husbands
mwanachama / wanachama
a member / members
mwananchi / wananchi
a countryman, native, citizen / citizens
mwashi / washi
a bricklayer, stonemason / bricklayers