Adjectives 1 - Consonant stem adjectives Flashcards
Swahili
English
-baya
bad
-nene
fat, thick
-bovu
rotten
-ngapi?
how many?
-chache
few (takes plural only)
-chafu
dirty
-pana
wide, broad, flat
-dogo
small, little
-pya
new
-fupi
short, low
-refu
long, deep, high, tall
-geni
strange, foreign, new (of people)
-tamu
sweet (sugary)
-gumu
hard, difficult
-tupu
empty, bare, pure (�nothing but�)
-kali
fierce, sharp, steep, strict
-vivu
lazy, idle
-kavu
dry
-zima
whole
-kubwa
big, large
-zito
heavy
-kuu
great, main, important
-zuri
good, nice, pleasant, beautiful, lovely
-kuukuu
old (of things)
-zee
old (of people)
A bad door
Mlango mbaya
A few loaves
Mikate michache
A tall person
Mtu mrefu
A lazy cook
Mpishi mvivu
A whole loaf
Mkate mzima
An empty bag
Mfuko mtupu
High mountains
Milima mirefu
A strange teacher
Mwalimu mgeni
A fat woman
Mwanamke mnene
A new game
Mchezo mpya
A large town
Mji mkubwa
Long legs
Miguu mirefu
A small salary
Mshahara mdogo
Heavy loads
Mizigo mizito
Sweet bread
Mkate mtamu
A steep mountain
Mlima mkali
Dirty hands
Mikono michafu
Sharp thorns
Miiba mikali
Fierce fires
Mioto mikali
How many inhabitants?
Wenyeji wangapi?
A small bad loaf
Mkate mdogo mbaya
A very good salary
Mshahara mzuri sana
A few long nails
Misumari mirefu michache
A big fierce fire
Moto mkubwa mkali
Long arms and short legs
Mikono mirefu na miguu mifupi
A few small fierce insects
Wadudu wadogo wakali wachache
Lazy old men
Wazee wavivu
A whole big loaf
Mkate mkubwa mzima
How many fat women?
Wanawake wanene wangapi?
Strange European hunters
Wawindaji Wazungu wageni
I am planting good new crops
Ninapanda mimea mizuri mipya
He is trying a difficult examination
Anajaribu mtihani mgumu
Shut the big doors!
Funga milango mikubwa!
The small children are buying a good game
Watoto wadogo wananunua mchezo mzuri
How many people are coming today?
Watu wangapi wanakuja leo?
The long nails are loose
Misumari mirefu inalegea
We are looking for a dry river
Tunatafuta mto mkavu
The small heavy doors are suitable
Milango midogo mizito inafaa
Would you bring a few loads now!
Ulete mizigo michache sasa!
Don�t cook with dirty hands!
Usipike na mikono michafu
Mwanamume mfupi
A short man
Mito mipana
Wide rivers
Mkate mkavu
Dry bread
Mchezo mzuri
A good game
Watoto wangapi?
How many children?
Mbuyu mkubwa
A large baobab tree
Mganga mkuu
A great doctor
Misumari michache
A few nails
Mimea mirefu
Tall crops/plants
Mwezi mzima
A whole month
Tunaingia mji mkubwa
We are entering a large town
Lete mfuko mtupu!
Bring an empty bag
Mimea mipya inasitawi
The new crops/plants are flourishing
Mtoto mnene anachukua mzigo mdogo
The fat child is carrying a small load
Mikate michache inatosha
A few loaves are sufficient
Wageni wangapi wanakuja leo?
How many guests are coming today?
Mtumishi anasafisha mlango mchafu
The servant is cleaning the dirty door
Mkate mbovu unanuka
The rotten bread is stinking
Ninahitaji mto mdogo
I need a small pillow