Nouns 2 - M/Mi Flashcards
mti / miti
tree
mbuyu / mibuyu
a Baobab tree (a very common, large, grotesque tree found in dry areas in East Africa)
mchezo / michezo
a game (not animals), a toy
mfereji / mifereji
a ditch, furrow, channel
mfuko / mifuko
a bag, pocket
mguu / miguu
a leg, foot
mji / miji
a town, city
mkate / mikate
a loaf, bread
mkono / mikono
an arm, hand
mlango / milango
a door, opening, gate
mlima / milima
a mountain
mmea / mimea
a plant, crop
mshahara / mishahara
a salary, wages (used mainly in singular)
msumari / misumari
a nail (carpenter’s)
mti / miti
a tree, post, tree trunk
mtihani / mitihani
an examination, test (scholastic)
mto / mito
a pillow, cushion, river
mzigo / mizigo
a load, luggage (pl.), burden
moshi / mioshi
smoke (rarely used in plural)
moto / mioto
fire, heat (rarely used in plural)
moyo / mioyo
a heart
mwaka / miaka
a year
mwembe / miembe
a mango tree
mwendo / miendo
speed, a journey
mwezi / miezi
a month, moon
mwiba / miiba
a thorn tree, thorn, prickle
mwili / miili
a body (living)
mwisho / miisho
an end, conclusion
Ditch
Mfereji
Nails
misumari
A river
mto
Luggage
mzigo
Mountains
milima
Legs
miguu
Smoke
moshi
A year
mwaka
Fire
moto
Pillows
mito
Trees
miti
A door
mlango
Crops
mimea
Salary
mshahara
Hands
mikono
A Baobab tree
mbuyu
A thorn
mwiba
Games
michezo
Bread
mkate
The end
mwisho
The Baobab tree is flourishing
Mbuyu unasitawi
The bread is sufficient
Mkate unatosha
The fire is cooling
Moto unapoa
The tree is smelling sweet
Mti unanukia
The crops are ripening
Mimea inaiva
The ditch is suitable
Mfereji unafaa
The salary is sufficient
Mshahara unatosha
The mountains are hiding
Milima inaficha
The river is stinking
Mto unanuka
The year is starting
Mwaka unaanza
The child is shutting the door
Mtoto anafunga mlango
The crops are growing
Mimea inaota
The mountain is hiding the town
Mlima unaficha mji
The mango trees are flourishing
Miembe inasitawi
Open the door now!
Fungua mlango sasa!
Bring bread today!
Lete mkate leo!
Don’t (pl.) shut the door!
Msifunge mlango!
The nails are sufficient
Misumari inatosha
The child is climbing the tree now
Mtoto anapanda mti sasa
The child is smelling the plant
Mtoto ananusa mmea
Ninanunua mkate
I am buying bread
Mtoto anaficha mikono
The child is hiding hands
Tunaleta mifuko
We are bringing the bags
Tunaweza kuona mwezi
We are able to see the moon
Anasaidia watoto kupanda mlima
He is helping the children to climb the mountain
Funga mlango!
Shut the door!
Mzungu analipa mishahara leo
The European is paying salaries today
Mti unaanguka sasa
The tree is falling now
Toeni mikono
Put the hands out
Mtihani unaanza leo
The examination is starting today
Watumishi wanachukua mizigo
The servants are carrying the luggage (loads)
Mbuyu unasitawi sana
The Baobab tree is flourishing well
Watu wanatosha
The people are sufficient
Mnahitaji mkate
You (pl.) need bread
Mimea inakauka
The crops are drying up
Mwisho unakuja
The end is coming
Moto unaleta moshi
The fire is bringing smoke
Tunapanda mimea sasa
We are planting crops now
Usitumie mguu
Don’t use the foot to shut the door
Mtoto ananunua mkate
The child is buying bread
Mnyama ananusa mgeni
The animal is smelling (sniffing at) the visitor
mfupa / mifupa
a bone
mkia / mikia
a tail
mkoa / mikoa
an administrative district, region
mkuki / mikuki
a spear
mkutano / mikutano
a meeting
mnazi / minazi
a coconut palm
mpaka / mipaka
a boundary, limit
mpini / mipini
a wooden handle, large handle
mpira / mipira
a rubber tree, also anything made of rubber, e.g. ball, football, etc.
mpango / mipango
an arrangement, plan, programme
msaada / misaada
aid, assistance, help
msikiti / misikiti
a mosque
msitu / misitu
a forest, wood
mstari / mistari
a line, queue
mtelemko / mitelemko
a slope
muda / miuda
a period of time
mwavuli / miavuli
an umbrella, sunshade
mzizi / mizizi
a root