Kiswahili Useful Phrases Week 2 Flashcards
Umeelewa
Do you understand?
Pronounce carefully because other similar words have negative connotation– “umelewa”. Are you Drunk?
Nina Sikia uchungu
I fee sad.
Grief, grieving
Ninasikitika
-sikitika
I am sad.
Regular kind of sad
Ninahuzunika
-huzunika
I am depressed.
Sadness–continual, long-term
Kingine?
What else?
Ghali Sana
Too much
Rahisi
cheap
Punguza bei
Reduce the price
Nipe bei nzuri
Give me the best price
Una shilingi ngapi?
How many shilings do you have?
Bei ya mwisho?
What is the last/final price?
Kilo moja
Nusu kilo
Robo kilo
1 KG
1/2 kg
1/4 kg
Lita moja
Nusu lita
Robo lita
1 liter
1/2 liter
1/4 liter
Jumla Bei gani?
How much is the total amount?
Basi
That’s all.
Inatosha
It is enough
Ninaomba chenji yangu.
I am requesting my change.
Chukua pesa
Take the money
Sasa, mimi ni mtega wako
Now, I am your customer.
Una mfuko?
Do you have a bag?
Mfuko– also means “pocket”
Nikusaidie nini?
How may I help you?
Kwa kula leo?
For eating today?
Yesu aLIfuku lakini aMEfufuka
Jesus WAS (simple past, not continuous state ) But he has risen (continues)
Sina nafasi, labda kesho.
I do not have time/opportunity, maybe tomorrow.
Amini usiamini.
Believe it or do not believe it.
“Believe it or not.”
Usiwe na wasiwasi
You should not worry.
“Don’t worry.”
Leo ni joto.
Leo si joto
The day is hot
The day is NOT hot
Neno la mungu
Maadiko ya munngu
The word of God (preferred)
The scriptures of God
Kutoka…
Kitabu cha ______
Mlango wa ______
Mastari wa ______
Comes from…
The book of ________
Chapter ________
Verse ________
Mimi ni mKristo na Mimeokoka.
I am a Christian and I am born again.
Ninamwamini Mungu
I believe in God.
Asanteni.
Mungu awa bariki.
(Mungu aKu bariki)
Thank you all.
God bless you all.
(God bless you.)
Ninashukuru kwa neema ya Mungu.
I am thankful for the blessings of God.