Kiswahil - Greeting & Introductions Flashcards
Jina langu ni…
My name is
Lakini (kiMaasai) Ninaitwa…..
But I am called (in Maasai)…
Ninatoka Marekani
Jiji la….
Mji wa… Vero Beach, Florida
I am from America, the town of Vero Beach, Florida.
Jiji la = CITY
Lakini sasa Ninakaa KENYA
Jiji la…
Mji wa KAREN
But now I am staying in KENYA,
In the CITY of…
In the town of Karen
Ninafanyakazi… Kanisani
Hospitalini
Zahanati
Kliniki
I am working in the church
Hospital
Pharmacy
Clinic
Habari zenu, watu wa Mungu.
Wapendwa
Ndungu zangu
What is the news (pl), people of God.
My friends
My brothers and sisters (my relatives)
Mimi ni... Mwalimu Mchungaji Profesa Daktari Muuguzi
I am a... Teacher Pastor Professor Doctor Nurse
Mimi ni profesa Ninafundisha Chou Kikuu.
I am a professor teaching at the University.
Jina langu ni….
Na huyu ni mume/mke wangu; anaitwa…
Daktari CAWS
Mchungaji FFS
My name is …..
And this is my husband / wife; s/he is called…
Dr. CAWS
Pastor FFS
Hodi, hodi!
Knock, knock.
I am here….
Karibu
Karibu Ndani
Fungua mlango
Welcome
Welcome inside
Open the door
Karibu Kiti
Welcome, sit.
Tutaonana… Kesho
…Baadae
See you …tomorrow
…Later
Unaitwa Nani?
What are you called?
Unatoka mji gani?
Which town are you from?