Kiswahili Fish And Food Flashcards
Samaki
Fish
Nguru
King Fish
Changu
Red Snapper
Chewa
Grouper
Kamba
Kamba mkubwa
Shrimp
Large shrimp
Kamba Koche
Lobster
Limao
Lemon
Ndimu
Lime
Dafu
Nazi
Coconut (for drinking)
Coconut (for cooking)
Ndizi
Bananna
Yai
Mayai
Egg
Eggs
Embe
Maembe
Mango
Mangoes
Kitungu
Vitungu
Onion
Onions
Kitungu Swaumu
Garlic
Nyanya
Tomatoes
Parachici
Avocado
Chungwa
Machungwa
Orange
Oranges
Tikiti maji
Water melon
Karoti
Carrots
Kabichi
Cabbage
Viazi vitamu
Sweet potatoes
Viazi mviringo
Irish potatoes
Maharage Mabichi
Fresh Beans
Green beans
Siagi
Butter
Chumvi
Salt
Karanga
Peanuts
Korosho
Cashews
Unga wa mahindi
Maize flour
Unga wa dona
Coarse maize flour (corn meal)
Tufaa
Apples
Mufuta ya kupikia
Cooking oil
Samaki Mbichi
Kamba Mchichi
Fresh fish
Fresh fish
Bata mzinga
Turkey
Huge duck
Bamia
Okra
Kitafunio
A bite
A snack
Niletee
Bring me
Subiri
Wait
Hizi pesa zako.
Here is your money.
Pilipili hoho
Sweet pepper
Kopo
Tin
Can
Pipi
Candy
Kuchomwa
Burnt / roasted
Jibini
Cheese