Kiswahili Home Things Week 3 Flashcards
Sofa
Swichi
Boksi
Sofa
Switch
Box
Kabati
Cabinet
Birika la kuchemshia maji
Kettle (lit. ‘…for boiling water’)
Majani ya chai
Tea leaves
Upawa
Cooking spoon
Jiko
Jikoni
Kitchen OR charcoal cooking stove
In the kitchen
Mtungi wa gesi
Gas tank
Bakuli
Bowl
Mchi wa chapati
Chipati roller
Kisu / visu
Knife / knives
Kijiko / vijiko
Kijiko cha chai
Spoon
Tea spoon
Uma / nyuma
Fork (s)
Chujio
Strainer /sieve
Sahani
Large plate (s)
Kisahani / visahani
Small plate (s)
Sufuria
Pot
Kikaango / Vikaango
Frying pan (s)
Mfuniko / vifuniko
Lid (s) or top (s)
Kikombe / vikombe
Glasi
Cup (s)
Glass
Kizoleo / vizoleo
Dust pan
Vumbi
Dust
Takataka
Trash
Shimo la takataka
Hole in the ground for trash
Kitambaa cha kukaushia
Cloth to make dry
Small hand towel