Trees & Plants Flashcards
Fruit
Tunda (matunda)
Flower
Ua (maua)
Leaf
Jani (majani)
Branch
Tawi (matawi)
Root
Mzizi (mizizi)
Stem
Shina (mashino)
Acacia
Mgunga (migunga)
Arrowroot
Myugwa (miyugwa)
Avocado Tree
Mparachichi (miparachichi)
Banana Plant
Mgomba (migomba)
Baobab
Mbuyu (mibuyu)
Barley
Shayiri
Bean Plant
Mharagwe (miharagwe)
Cassava Plant
Muhogo (mihogo)
Coconut Tree
Mnazi (minazi)
Cotton
Mpamba (mipamba)
Cowpeas
Kunde
Green Grams
Dengu
Irish Potato
Mbatata
Maize Plant
Mhindi (mihindi)
Mango Tree
Mwembe (miembe)
Millet
Mawele
Orange Tree
Mchungwa (michungwa)
Pawpaw (papaya) Plant
Mpapai (mipapai)
Peas
Njegere
Rice
Mpunga (mipunga)
Seedling
Mche (miche)
Sorghum
Mtama (mitama)
Sugar Cane
Muwa (miwa)
Sunflower
Mualizeti (mializeti)
Sweet Potato
Kiazi kitamu (viazi vitamu)
Tea Plant
Mchai (michai)
Thron
Mwiba (miiba)
Weed
Gugu (magugu)
Wheat
Ngano
Yam
Kiazi kikuu (viazi kikuu)