Swahili Vocab #9 Flashcards
1
Q
To get self into trouble
A
Jiweka katika shida
……….. katika matatizo
……….. katika tabu
2
Q
Nurse
A
Mwuguzi
Nesi
3
Q
Injection
A
Choma sindano
4
Q
To punish
A
Adhibu
5
Q
To enjoy
To entertain
A
Burudika
Burudisha
6
Q
To tire someone
A
Chosha
7
Q
To hate
A
Chukia
8
Q
To introduce
Identification
A
Tambulisha
Kitambulisha
9
Q
To scratch
A
Kuna
10
Q
To hide
A
Ficha