Human Body Flashcards
Kifundo
Ankle
Mkono
(mikono)
Arm
Kwapa (Makwapa)
Armpit
Mgongo (Migongo)
Back
Kipara (Vipara)
Bald Head
Damu
Blood
Ubongo
Brain
Pumzi
Breath
Shavu (Mashavu)
Cheek
Kifua (Vifua)
Chest
Kidevu (Videvu)
Chin
Sikio (Masikio)
Ear
Ndewe
Earlobe
Kisugudi (Visugudi)
Elbow
Jicho (Macho)
Eye
Unyusi (Nyusi)
Eyebrow
Ukope (Kope)
Eyelash
Uso (nyuso)
Face
Kidole (Vidole)
Finger
Mguu (Miguu)
Foot
Wayo (nyayo)
Footprint
Paji (Mapaji)
Forehead
Unywele (nywele)
Hair
Mkono ((mikono)
Hand
Kichwa (vichwa)
Head
Moyo (Mioyo)
Heart
Kisigino (Visigino)
Heel
Figo
Kidney
Mguu (Miguu)
Leg
Mdomo (Midomo)
Lip
Pafu (Mapafu)
Lung
Kinywa (vinywa)
Mouth
Ukucha (kucha)
Nail
Kitovu (Vitovu)
Navel
Shingo
Neck
Pua
Nose
Kiganja (Viganja)
Palm
Mate
Saliva
Bega (Mabega)
Shoulder
Wayo (Nyayo)
Sole
Tumbo (Matumbo)
Stomach
Jasho
Sweat
Chozi (Machozi)
Tear
Paja (Mapaja)
Thigh
Koo
Throat
Kidole Cha Mguu
(Vidole Vya Miguu)
Toe
Jino (Meno)
Tooth (Teeth)
Kiuno (Viuno)
Waist
Kiwiko (Viwiko)
Wrist