Family Flashcards
1
Q
Adult
A
MTU Mzima (watu wazima)
2
Q
Aunt
A
Shangazi
3
Q
Baby
A
Mtoto mchanga (watoto wachanga)
4
Q
Bride
A
Bi harusi
5
Q
Bridegroom
A
Bwana harusi (mabwana harusi)
6
Q
Brother
A
Kaka
7
Q
Child
A
Mtoto (watoto)
8
Q
Cousin
A
Binamu
9
Q
Daughter
A
Binti (mabinti)
10
Q
Family
A
Familia
11
Q
Father
A
Baba
12
Q
Father in law
A
Baba mkwe (baba wakwe)
13
Q
Firstborn
A
Kifunguamimba (vifunguamimba)
14
Q
Grandchild
A
Mjukuu (wajukuu)
15
Q
Grandfather
A
Babu