Random Vocab Flashcards
Labda
Maybe
Sawa
All right
Kabisa
Completely, extremely
Sana
Very, very much, a lot
Na
And, with
Leo
Today
Sasa
Now
Tena
Again
Kidogo
Little
Hatari
Danger
Nywila
Password
Unafikiri nini?
What are you thinking?
Unaitwa nani?
What is your name?
Upo sawa?
Are you ok?
Kuongea
To talk
Fanya harakati mara tatu
Do the movement three times
Mara tatu kwa siku
Three times a day
Mara tatu kwa mwezi
Three times a month
Mara moja kwa siku
One time a day
Mara tatu kwa wiki
Three times a week
Kwa
For, by, per
kwa siku
per day
kwa wiki
per week
kwa mwezi
per month
kwa mwaka
per year
kila
each, every
kila siku thelathini
every 30 days
kila siku
every day
fanya hivi mara tatu
do this three times
kahawa
coffee
kushoto
left
kulia
right
moja kwa moja
straight
nadhani hivyo
I think so
kufanya mazoezi
to practice
maji
water
wali
rice
lakini
but
nitajaribu kuongea kiswahili lakini sijui mengi
I will try to speak Swahili but I don’t know much
unahitaji kuchukua dawa hii kila siku
You need to take this medication daily/every day
ishirini
20
kufanya kazi
to work
Kumeza
To swallow