M-Mi Noun Class Flashcards
mti
miti
tree
mbuyu
mibuyu
Baobab tree
mchezo
michezo
a game, toy
mfereji
mifereji
a ditch, furrow, channel
mfuko
mifuko
a bag, pocket
mguu
miguu
a leg, foot
mji
miji
town, city
mkate
mikate
a loaf, bread
mkono
mikono
an arm, hand
mlango
milango
an opening, door, gate
mlima
milima
mountain
mmea
mimea
a plant, crop
mshahara
mishahara
a salary, wages (*used mainly in singular)
msumari
misumari
a nail (carpenter’s)
mtihani
mitihani
an examination, test
mto
mito
pillow, cushion, river
mzigo
mizigo
a load, luggage (pl), burden
moshi
mioshi
smoke (*rarely used in plural)
moto
mioto
fire, heat (*rarely used in plural)
moyo
mioyo
a heart
mwaka
miaka
a year
mwezi
miezi
a month, moon
mwembe
miembe
a mango tree
mwendo
miendo
speed, a journey
mwiba
miiba
a thorn tree, thorn, prickle
mwili
miili
a body (living)
mwisho
miisho
an end, conclusion
mfupa
mifupa
a bone
mkia
mikia
a tail
mkoa
mikoa
an administrative district, region
mkuki
mikuki
a spear
mkutano
mikutano
a meeting
mnazi
minazi
a coconut palm
mpaka
mipaka
a boundary, limit
mpini
mipini
a wooden handle, large handle
mpira
mipira
a rubber tree, also anything made from rubber (eg, ball, football, hosepipe)
mpango
mipango
an arrangement, plan, program
msaada
misaada
help, aid, assistance
msikiti
misikiti
a mosque
msitu
misitu
a forest, wood
mstari
mistari
a line, queue
mtelemko
mitelemko
a slope
muda
miuda
a period of time
mwavuli
miavuli
an umbrella, sunshade
mzizi
mizizi
a root