Ki-Vi Noun Class Flashcards
kiatu
viatu
a shoe (or any footwear)
kiazi
viazi
a potato
kiberiti
viberiti
box of matches, lighter
kichwa
vichwa
a head
kidole
vidole
a finger, toe
kidonda
vidonda
a sore, ulcer
kidonge
vidonge
a pill, tablet
kijiji
vijiji
a village
kijiko
vijiko
a spoon, teaspoon
kikapu
vikapu
a basket
kiko
viko
a (smoker’s) pipe
kikombe
vikombe
a cup
kilima
vilima
a hill
kilimo
agriculture (not used in the plural)
kioo
vioo
a mirror, sheet of glass
kipande
vipande
a piece, portion, stint, slice
kipimo
vipimo
a measuring device of any sort
kisahani
visahani
a saucer
kisima
visima
a well, water hole
kisu
visu
a knife
kitabu
vitabu
a book
kitanda
vitanda
a bed
kitambaa
vitambaa
a cloth, material
kiti
viti
a chair, stool, seat
kitu
vitu
a thing
chakula
vyakula
food
chandalua
vyandalua
mosquito net
cheti
vyeti
note, chit, certificate, reference of work
chombo
vyombo
tool, container, vessel of any kind
also used for furniture
choo
vyoo
bathroom, latrine
chuma
vyuma
piece of iron, metal
chumba
vyumba
room
kiboko
viboko
a hippo
kifaru
vifaru
a rhino
kibarua
vibarua
a labourer, daily-paid worker
kijana
vijana
a youth
kipofu
vipofu
a blind person
kiwete
viwete
a lame person, cripple
kiziwi
viziwi
a deaf person
chama
vyama
a club, society, association, cooperative
kiasi
viasi
quantity, amount
kibanda
vibanda
shed, hut (but not a permanent dwelling)
kipini
vipini
a small handle
kiraka
viraka
a patch (in clothing, etc)
kisiwa
visiwa
an island
kitunguu
vitunguu
an onion
kivuli
vivuli
a shade, shadow
kiwanda
viwanda
a workshop
kiwanja
viwanja
a plot of ground, pitch
kizibo
vizibo
a cork, stopper