M-WA Noun Class Flashcards
Mtu/Watu
Person/People
Mganga
Doctor, witch doctor
Mgeni
Visitor, guest, stranger, newcomer
Mgonjwa
A sick person, patient
Mpishi
A cook
Mtoto
A child
Mtumishi
A servant
Mzee
An older person, elder (term of respect)
Mzungu
A European (any white person)
Mdudu
An insect
Mnyama
An animal
Mwana (Wana)
Son/daughter
Mwanafunzi (Wanafunzi)
Student, pupil
Mwalimu (Walimu)
Teacher
Mwenyeji (Wenyeji)
Inhabitant, householder
Mwizi (Wezi)
Thief
Mwanamke (Wanawake)
Woman
Mwanamume (wanaume)
Man
Mwindaji (wawindaji)
Hunter
Mwafrika (Waafrika)
African
Mwamerika (Waamerika)
American
Mwarabu (Waarabu)
An Arab
Mwingereza (Waingereza)
A Britisher
Mwitalia (Waitalia)
An Italian
Mfaransa (Wafaransa)
A Frenchman
Mdachi (Wadachi)
A German
Mholanzi (Waholanzi)
A Dutchman
Mgiriki (Wagiriki)
A Greek
mchungaji (wachungaji)
a herdsman, pastor, shephard
make (wake)
wife
mkristo (wakristo)
a Christian
mkulima (wakulima)
a farmer
mnyapara (wanyapara)
a foreman, overseer
mume (waume)
husband
mwanachama (wanachama)
a member (of a society, etc)
mwananchi (wananchi)
a countrymen, native, citizen
mwashi (washi)
a bricklayer, stonemason
Mbwa
Dog
Paka
Cat
Kondoo
Sheep
Farasi
Horse
Nyati
Buffalo
Nyumbu
Wildebeest
Chui
Leopard
Duma
Cheetah
Twiga
Giraffe
Tembo
Elephant
Kiboko
Hippopotamus
Kifaru
Rhinoceros
Paa
Gazelle
Inzi
Fly
Buibui
Spider
Ng’e
Scorpion
Nyuki
Bee
Nyigu
Wasp
Nyoka
Snake
Pomboo
Dolphin
Nyangumi
Whale
Pwesa
Octopus
Ngisi
Squid
Mkunga
Eel
Uduvi
Shrimp
Kombakoche
Lobster
Papa
Shark
Pundamilia
Zebra
Samaki
Fish
Panya
Rat/mouse
Konokono
Snail
Ng’ombe
Cow
Nguruwe
Pig
Kuku
Chicken
Mbuzi
Goat
Mende
Cockroach
Mamba
Crocodile