Namba Flashcards
1
Q
Number(s)
A
Namba
2
Q
0
A
Sifuri
3
Q
1
A
Moja
4
Q
2
A
Mbili
5
Q
3
A
Tatu
6
Q
4
A
Nne
7
Q
5
A
Tano
8
Q
6
A
Sita
9
Q
7
A
Saba
10
Q
8
A
Nane
11
Q
9
A
Tisa
12
Q
10
A
Kumi
13
Q
Home phone number
A
Namba ya simu ya nyumbani
14
Q
Office phone number
A
Namba ya simu Ya ofisini
15
Q
Cell phone number
A
Namba ya simu ya mkononi
16
Q
First
A
-a kwanza
17
Q
Second
A
-a pili
18
Q
Third
A
-a tatu
19
Q
Fourth
A
-a nne
20
Q
Fifth
A
-a tano
21
Q
Sixth
A
-a sita
22
Q
Seventh
A
-a saba
23
Q
Eighth
A
-a nane
24
Q
Ninth
A
-a tisa
25
Tenth
-a kumi
26
20
Ishirini
27
30
Thelathini
28
40
Arobaini
29
50
Hamsini
30
60
Sitini
31
70
Sabini
32
80
Themanini
33
90
Tisini
34
Hundred(s)
(Ma)mia
35
Thousand(s)
(Ma)elfu
36
Million(s)
(Ma)milioni
37
What is your cell phone number?
Namba yako ya simu ya mkononi ni gani?
38
What is your office number?
Namba yako ya simu ya ofisini ni gani?
39
What is his/her home number?
Namba yake ya simu ya nyumbani ni gani?
40
My number is...
Namba yangu ya simu ni...
41
How old is he/she?
Ana miaka mingapi?
42
He/she is ... years old
Ana miaka...