Hodi Hodi (Karibuni na Msamiati wa ziada) Flashcards
1
Q
Knock knock!
A
Hodi Hodi!
2
Q
Guest
A
Mgeni
3
Q
Host
A
Mwenyeji
4
Q
Welcome
A
Karibu
5
Q
Welcome (you all)
A
Karibuni
6
Q
Have a seat
A
Karibu kiti/Karibu ukae
7
Q
Thank you
A
Asante
8
Q
I appreciate
A
Ninashukuru
9
Q
To bid farewell
A
Kuaga
10
Q
Goodbye
A
Kwaheri
11
Q
To see each other
A
Kuonana
12
Q
How about you?
A
Na wewe je?
13
Q
Can you please help me?
A
Unaweza kunisaidia?
14
Q
Where are the toilets?
A
Choo kiko wapi?
15
Q
Pardon/Excuse me.
A
Samahani
16
Q
Do you speak Swahili?
A
Unasema Kiswahili?
17
Q
I only speak a little bit of Swahili.
A
Ninasema Kiswahili kidogo tu.
18
Q
How do you say ___ in Swahili?
A
Unasemaje ___ kwa Kiswahili?
19
Q
Please speak slowly.
A
Tafadhali sema polepole
20
Q
Can you please repeat that?
A
Rudia tafadhali
21
Q
Just a minute.
A
Hebu kidogo.
22
Q
I’m hungry
A
Nina njaa
23
Q
I’m thirsty
A
Nina kiu
24
Q
I’m a student
A
Mimi ni mwanafunzi
25
I'm a volunteer
Mimi ninajitolea
26
I'm a tourist
Mimi ni mtalii
27
I love you
Ninakupenda
28
I like it
Ninaipenda
29
Sleep well
Lala salama
30
What is that?
Hii ni nini?
31
How much does that cost?
Hii ni shlingi ngapi?
32
I don't understand you.
Sikufahamu
33
Leave me alone!
Niache!