Msamiati wa Darasani Flashcards
1
Q
vocabulary
A
msamiati
2
Q
grammar
A
sarufi
3
Q
class
A
darasa
4
Q
in the classroom
A
darasani
5
Q
lesson
A
somo
6
Q
lessons/studies
A
masomo
7
Q
chapter(s)
A
sura
8
Q
conversation/dialogue
A
mazungumzo
9
Q
excercise
A
zoezi
10
Q
excercises
A
mazoezi
11
Q
homework
A
zoezi la nyumbani
12
Q
question
A
swali
13
Q
questions
A
maswali
14
Q
ask
A
uliza
15
Q
ask a question
A
uliza swali
16
Q
answer
A
jibu
17
Q
answer a question
A
jibu swali
18
Q
i have a question
A
nina swali
19
Q
do you have a question
A
je, una swali?
20
Q
yes, i have a question
A
ndiyo, nina swali
21
Q
no, i don’t have a question
A
la, sina swali
22
Q
is there any question?
A
kuna swali?
23
Q
yes, there is a question
A
ndiyo, kuna swali
24
Q
no, there is no question
A
la, hakuna swali
25
i don't understand
sifahamu/sielewi
26
i understand
ninafahamu/ninaelewa
27
i don't know
sijui
28
i will say in English
nitasema kwa kiingereza
29
i don't know how to say in Swahili
sijui kusema kwa kiswahili
30
i know
ninajua
31
excuse me
samahani
32
try again
jaribu tena
33
how do you say "..." in swahili?
unasemaje "..." kwa kiswahili
34
translate
tafsiri
35
translation
tafsiri
36
swahili translation
tafsiri ya kiswahili
37
please
tafadhali
38
please repeat that
tafadhali sema tena/ rudia tafadhali
39
please speak slowly
tafadhali sema polepole
40
please repeat slowly
tafadhali rudia polepole
41
please speak in swahili
tafahali sema kwa kiswahili
42
teacher
mwalimu
43
student
mwanafunzi
44
students
wanafunzi